njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Yaani toka tarehe 3 February nilipost hapahapa kwamba Simba ni ya 98 duniani hizi statistics ni za January nilichoambulia hapa Jamii Forums ni kubishana na majinga ya utopwinyo vyura pro max wa Jangwani.
Sasa in a span of 4 days mwandishi wa Ghana, Micky JR kapost hiyo issue ikapokelewa na wachambuzi mchongo wa Bongo imekuwa news na imekubalika na leo Mo Dewji kaizungumzia.
Nafurahia lakini nina hasira sana kweli umaarufu ni kitu kizuri, ma-genius kama sisi huwa hatuonekani kabisa na tunachukuliwa poapoa.
www.jamiiforums.com

Aibu: TFF washangilia ranks za IFFHS huku wakiihujumu Simba iliyosababisha yote, makanjanja yakwepa kusema Simba ya 7 Afrika 98 duniani
Huwezi amini ....yaani billion moja ya udhamini mwenza kwa mwaka imewatoa roho na imani na bila aibu leo wanashehereka ranks za ligi bora iliyo chini ya Tff ya mchongo na bodi chakavu ya ligi. Ni hawahawa wanafiki walimzuia siingie uwanjani CEO wa team iliyosababisha ranks na heshima kwa nchi...