Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Moja ya tuhuma iliyotolwlewa dhidi ya Mbatia ni kumwita rais Samia Dada huku akiacha kumuita Mama. Hii imeonyesha kuwa ni mtovu wa nidhamu.
Mbali ya hayo kuna tuhuma za upigaji pesa za umma.
Kuna harufu ya viashiria kuwa rais Samia na Mbatia haviivi au hazipandi.
Kwa hali hii kumbe rais anataka kupanga safu yake ya wapinzani anaotaka yeye. Sasa huu ni upinzani kweli?