Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Kama hana ushawishi mbona anapanga njama kumpindua?Mama Tanzania
Mbatia hana ushawishi wa kisiasa!
Lakini Mbatia anaokena kakosea.Lissu alisema yule ni Rais lakini si mama yake, mara nyingi ana mrefer kama Chief Hangaya.
Lisu ni mropokajiLissu alisema yule ni Rais lakini si mama yake, mara nyingi ana mrefer kama Chief Hangaya.
Una maana gani?Lisu ni mropokaji
Nguvu ya chama chochote hutokana na idadi ya wafuasi wake..Moja ya tuhuma iliyotolwlewa dhidi ya Mbatia ni kumwita rais Samia Dada huku akiacha kumuita Mama. Hii imeonyesha kuwa ni mtovu wa nidhamu.
Mbali ya hayo kuna tuhuma za upigaji pesa za umma.
Kuna harufu ya viashiria kuwa rais Samia na Mbatia haviivi au hazipandi.
Kwa hali hii kumbe rais anataka kupanga safu yake ya wapinzani anaotaka yeye. Sasa huu ni upinzani kweli?
Haya tupe ushaidi.kuwa Samia anataka kumpindua Mbatia.Kama hana ushawishi mbona anapanga njama kumpindua?
Nimecheka Sana , eti mh kaitwa dada, kwani mh anaweza kuwa mama KWa KILA mtu, lazima majina mengine yanaweza tumika lingana na mazingiraMoja ya tuhuma iliyotolwlewa dhidi ya Mbatia ni kumwita rais Samia Dada huku akiacha kumuita Mama. Hii imeonyesha kuwa ni mtovu wa nidhamu.
Mbali ya hayo kuna tuhuma za upigaji pesa za umma.
Kuna harufu ya viashiria kuwa rais Samia na Mbatia haviivi au hazipandi.
Kwa hali hii kumbe rais anataka kupanga safu yake ya wapinzani anaotaka yeye. Sasa huu ni upinzani kweli?
Hata kwa familia yake hana ushawishi .Mama Tanzania
Mbatia hana ushawishi wa kisiasa!
Tumepigwa..Moja ya tuhuma iliyotolwlewa dhidi ya Mbatia ni kumwita rais Samia Dada huku akiacha kumuita Mama. Hii imeonyesha kuwa ni mtovu wa nidhamu.
Mbali ya hayo kuna tuhuma za upigaji pesa za umma.
Kuna harufu ya viashiria kuwa rais Samia na Mbatia haviivi au hazipandi.
Kwa hali hii kumbe rais anataka kupanga safu yake ya wapinzani anaotaka yeye. Sasa huu ni upinzani kweli?
Pengine ki'protocal haikutakiwa aitwe hivyo kutegemea na mazingira.Nimecheka Sana , eti mh kaitwa dada, kwani mh anaweza kuwa mama KWa KILA mtu, lazima majina mengine yanaweza tumika lingana na mazingira
Mh,ndugu, mama,dada, shangazi,bibi ,
Mfano utalazimisha mjukuu amuite mama?
Mimi nafikili Ayo maneno hapo juu yanaweza tumika maana bado hayavunji heshima na utu wa mtu au taswira ya kiongozi?
KWa hoja hii wajumbe wamechemka
Samia ampindue Mbatia kwa lipi ?. Huyo kapinduliwa na mchaga mwenzake Selasini. Au unajitoa akili sukuma gang !!!πππKama hana ushawishi mbona anapanga njama kumpindua?