Ina maana Ruto alikuja Tanzania ili asiende Uganda?

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,095
Reaction score
4,632
Kwa sababu Ruto alikuwa amealikwa kwenye sherehe za Uhuru Uganda October 9, badala yake akaja Tanzania.

Hii ni baada ya Muhoozi ku tweet "Ndugu zangu wa Kenya, mimi sitakuja huko kulikung'uta Jeshi la Kenya, kwa sababu baba yangu amenikataza. "
 
Aliekwambia kama Ruto hakwenda Uganda nani?
Muwe mnauliza au kufuatilia kwanza jambo kabla haujaliandika. Nyie ndio mnaofanya sasa hivi jukwaa hili lionekane ni la low thinkers badala ya great thinkers kama zamani.
 
Attachments

  • Screenshot_20221012-050455.jpg
    Screenshot_20221012-050455.jpg
    47.5 KB · Views: 20
Kwa sababu Ruto alikuwa amealikwa kwenye sherehe za Uhuru Uganda October 9, badala yake akaja Tanzania.

Hii ni baada ya Muhozi ku tweet "Ndugu zangu wa Kenya, mimi sitakuja huko kulikung'uta Jeshi la Kenya, kwa sababu baba yangu amenikataza. "
Nyie Watoto nyie hii ni nini
1665544185316.png
 
Kwa sababu Ruto alikuwa amealikwa kwenye sherehe za Uhuru Uganda October 9, badala yake akaja Tanzania.

Hii ni baada ya Muhozi ku tweet "Ndugu zangu wa Kenya, mimi sitakuja huko kulikung'uta Jeshi la Kenya, kwa sababu baba yangu amenikataza. "
Una uhakika kuwa Rais wa Kenya Ruto hakwenda katika Sherehe hizo za Uhuru wa miaka 60 ya Uganda? Acheni Kukurupuka na Kuvuta Bangi huku mkiwa bado hamjala au mmeamkia na Kiporo.
 
Yule mtoto Wa mu7 ni mpumbavu kabisa!
Mapesa mengi ya burebure yakijaa huwa yanawaletea kiburi na pia huwa wanakosa peace of mind !! Tuwahurumie na mapesa yao yanawatesa tu 😂😂
 
Huyu jamaa ameandika akiwa bado usingizini akiamka atajua kuwa Rais Dr.Ruto alikwenda Uganda kabla ya kuja Tanzania.
Kumbuka Juzi tu hapa Dunia imetoka Kuadhimisha Siku ya Kimataifa kwa Watu wenye matatizo ya Akili hivyo huenda nae ni Mhanga wa tatizo hilo na aliisheherekea vyema hiyo Siku na akaamua Kutuonyesha kwa Vitendo kuwa bado hajapona ndiyo maana katuandikia huu Upuuzi uliotokana na Kukurupuka Kwake.
 
Aliekwambia kama Ruto hakwenda Uganda nani?
Muwe mnauliza au kufuatilia kwanza jambo kabla haujaliandika. Nyie ndio mnaofanya sasa hivi jukwaa hili lionekane ni la low thinkers badala ya great thinkers kama zamani.
Edited
 
Kwa sababu Ruto alikuwa amealikwa kwenye sherehe za Uhuru Uganda October 9, badala yake akaja Tanzania.

Hii ni baada ya Muhozi ku tweet "Ndugu zangu wa Kenya, mimi sitakuja huko kulikung'uta Jeshi la Kenya, kwa sababu baba yangu amenikataza. "
Oyaa acha kuota utajinyie
 
Haya sema nime edited na speech japo nimekuwekea nusu ila unaweza kuingia kwenye news za Uganda utaipata
 
Attachments

  • Screenshot_20221012-052615.jpg
    Screenshot_20221012-052615.jpg
    38.1 KB · Views: 10
  • Screenshot_20221012-052644.jpg
    Screenshot_20221012-052644.jpg
    56.7 KB · Views: 8
  • Screenshot_20221012-052724.jpg
    Screenshot_20221012-052724.jpg
    35.9 KB · Views: 13
Aliekwambia kama Ruto hakwenda Uganda nani?
Muwe mnauliza au kufuatilia kwanza jambo kabla haujaliandika. Nyie ndio mnaofanya sasa hivi jukwaa hili lionekane ni la low thinkers badala ya great thinkers kama zamani.
Nimewaza kama Wewe mkuu! Kwa Sababu ziara ya Dr Ruto kule Uganda niliifuatilia vyema pamja na mambo mazito aliyoyaongea kwa Mzee ikiwemo suala la Ulinzi wa mipaka! Nachelea kusema kwamba JF imeingiliwa na kizazi Cha fb ambaacho hukurupuka TU na kuanzisha nyuzi pasina kufanya utafiti au kujiridhisha iwapo Jambo wanalozungumza Lina mantiki na laweza kuwa na manufaa kwa jamii kisiasa kiuchumi na kijamii! Wale members wa pages za hovyo Facebook wanajiita vijana wa hovyo sasa tunao humu! Ndio maana hatuoni mada moto moto zinazochochea mageuzi katika jamii yetu ya Tanzania ya Leo! Inaskitisha sana kijana kama huyu Hana habari kama Dr Ruto alikuja Tanzania akitokea Uganda je ataweza kujua mambo mtambuka ambapo Taifa letu linapitia?
 
Kwa sababu Ruto alikuwa amealikwa kwenye sherehe za Uhuru Uganda October 9, badala yake akaja Tanzania.

Hii ni baada ya Muhozi ku tweet "Ndugu zangu wa Kenya, mimi sitakuja huko kulikung'uta Jeshi la Kenya, kwa sababu baba yangu amenikataza. "
We ni mjinga sema asante.
 
Back
Top Bottom