6 Pack
JF-Expert Member
- Apr 17, 2022
- 2,819
- 5,996
Ya ni kweli mkuu, huyu mleta mada nahisi ni mmoja wa hao vijana wa hovyo huko fb. So ndo anataka kuleta uhovyo wake kwenye jukwaa la watu wenye akili akitegemewa kuungwa mkono na wa hovyo wenzake kama wafanyavyo fb. So nimeona ni afadhali kumpa information ambayo alikuwa haijui, lkn vilevile kumpa angalizo la kisaikolojia maana nina imani kwa aibu hii, siku nyingine hawezi kuanzisha mada za kipuuzi ovyo ovyo.Nimewaza kama Wewe mkuu! Kwa Sababu ziara ya Dr Ruto kule Uganda niliifuatilia vyema pamja na mambo mazito aliyoyaongea kwa Mzee ikiwemo suala la Ulinzi wa mipaka! Nachelea kusema kwamba JF imeingiliwa na kizazi Cha fb ambaacho hukurupuka TU na kuanzisha nyuzi pasina kufanya utafiti au kujiridhisha iwapo Jambo wanalozungumza Lina mantiki na laweza kuwa na manufaa kwa jamii kisiasa kiuchumi na kijamii! Wale members wa pages za hovyo Facebook wanajiita vijana wa hovyo sasa tunao humu! Ndio maana hatuoni mada moto moto zinazochochea mageuzi katika jamii yetu ya Tanzania ya Leo! Inaskitisha sana kijana kama huyu Hana habari kama Dr Ruto alikuja Tanzania akitokea Uganda je ataweza kujua mambo mtambuka ambapo Taifa letu linapitia?