Ina maana Ruto alikuja Tanzania ili asiende Uganda?

Ya ni kweli mkuu, huyu mleta mada nahisi ni mmoja wa hao vijana wa hovyo huko fb. So ndo anataka kuleta uhovyo wake kwenye jukwaa la watu wenye akili akitegemewa kuungwa mkono na wa hovyo wenzake kama wafanyavyo fb. So nimeona ni afadhali kumpa information ambayo alikuwa haijui, lkn vilevile kumpa angalizo la kisaikolojia maana nina imani kwa aibu hii, siku nyingine hawezi kuanzisha mada za kipuuzi ovyo ovyo.
 
Kama umefuatilia majibu yake kwa wanajukwaa wanaojaribu kumpa taarifa na kumfahamisha Juu ya huu ujinga wake utagundua kwamba IPO haja ya Jf kufanya vetting kabka ya enrolment!
 
Kwa sababu Ruto alikuwa amealikwa kwenye sherehe za Uhuru Uganda October 9, badala yake akaja Tanzania.

Hii ni baada ya Muhozi ku tweet "Ndugu zangu wa Kenya, mimi sitakuja huko kulikung'uta Jeshi la Kenya, kwa sababu baba yangu amenikataza. "
Your browser is not able to display this video.
 
Aliekwambia kama Ruto hakwenda Uganda nani?
Muwe mnauliza au kufuatilia kwanza jambo kabla haujaliandika. Nyie ndio mnaofanya sasa hivi jukwaa hili lionekane ni la low thinkers badala ya great thinkers kama zamani.
Naona comment yako imemkimbiza mleta mada 🀣🀣🀣🀣
 
Kuliko Wewe?
Kwann viongozi wote EA hawamtazami machoni Ruto,

Nini yalokuwa matarajio Yao???

Ni maombi yangu Mungu amlinde na husuda za viongozi waovu.

Itatokea na kwetu soon.

Ameeeen
 
Kwa sababu Ruto alikuwa amealikwa kwenye sherehe za Uhuru Uganda October 9, badala yake akaja Tanzania.

Hii ni baada ya Muhozi ku tweet "Ndugu zangu wa Kenya, mimi sitakuja huko kulikung'uta Jeshi la Kenya, kwa sababu baba yangu amenikataza. "
Acha bange weye. Alienda Uganda kwanza halafu ndio akaja Tz.
Kama una facts tuliza nyege nyambafu weye
 
Uanzishaji wa habari kama hizi ndio zinafanya kuonekana vijana tuna ulimbukeni wa mitandao na ujuaji wa kijinga na kujiona tunajua kumbe hatujui. Mtu kama huyu ndio zile type anaweza kukubishia siku nzima

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kwa sababu Ruto alikuwa amealikwa kwenye sherehe za Uhuru Uganda October 9, badala yake akaja Tanzania.

Hii ni baada ya Muhozi ku tweet "Ndugu zangu wa Kenya, mimi sitakuja huko kulikung'uta Jeshi la Kenya, kwa sababu baba yangu amenikataza. "
Kwa Uzi huu nimeamni mnakurupuka San na inaonesha hamfatiliaa vyombo vya hbr mpo mpo tu kama kuku
 
Kwa sababu Ruto alikuwa amealikwa kwenye sherehe za Uhuru Uganda October 9, badala yake akaja Tanzania.

Hii ni baada ya Muhoozi ku tweet "Ndugu zangu wa Kenya, mimi sitakuja huko kulikung'uta Jeshi la Kenya, kwa sababu baba yangu amenikataza. "
Hujielewi Dada. Puts your facts right
 
Kwa sababu Ruto alikuwa amealikwa kwenye sherehe za Uhuru Uganda October 9, badala yake akaja Tanzania.

Hii ni baada ya Muhoozi ku tweet "Ndugu zangu wa Kenya, mimi sitakuja huko kulikung'uta Jeshi la Kenya, kwa sababu baba yangu amenikataza. "
Alienda alihutubia ila Tanzania alikuja usiku huo huo wa tarehe 9.
 
Aliekwambia kama Ruto hakwenda Uganda nani?
Muwe mnauliza au kufuatilia kwanza jambo kabla haujaliandika. Nyie ndio mnaofanya sasa hivi jukwaa hili lionekane ni la low thinkers badala ya great thinkers kama zamani.
The best 007 low thinkerπŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Hawa vijana viporo wanavyokula vimeshaharibu tumbo na ubongo tayari, sasa matokeo yake mtu anakuja kucheuwa asioyajua hapa JFπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Thread ifutwe mleta mada kapotosha umma
 
Kwa sababu Ruto alikuwa amealikwa kwenye sherehe za Uhuru Uganda October 9, badala yake akaja Tanzania.

Hii ni baada ya Muhoozi ku tweet "Ndugu zangu wa Kenya, mimi sitakuja huko kulikung'uta Jeshi la Kenya, kwa sababu baba yangu amenikataza. "
Ivi uyo jamaa hatumii k vant kweliπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…