Ina maana tusiwakopeshe wazazi/walezi tazama hii video

Ina maana tusiwakopeshe wazazi/walezi tazama hii video

Royal Son

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2016
Posts
1,677
Reaction score
3,174
Video hapa chini

Video hii inaonyesha kijana aliyemkopesha mama yake kiasi cha laki 5 na alipoenda kumdai, mama yake kiasi hicho ili arejeshewe, basi mama yake alianza kukumbusha mambo yake yote alivyokuwa akimuhudumia akiwa mdogo hadi kukua kwake.

Kwahiyo hizi ndiyo tamaduni za wazazi wa kitanzania?

 
Wamama nao watafute pesa maaaae Zao, mimi mama yangu hakua fala kiasi hicho mbuzi nyie
 
Unamkopeshaje pesa mama Yako MZAZI?

Mama unampa pesa na madeni unamlipia
 
Huyo mama mpumbavu kwasababu kulea ni jukumu lake yeye kama mzazi.
Yaani mtoto hakumuomba wazazi wake wakimaliza kukazana wamzazi.
Lakini pia hayo ni matoke ya malezi ya hovyo kutoka kwa wazazi ambayo hupelekea mtoto kutokua na adabu ama simile ama kukosa utu wakati wa kudai deni lake na hii sio lazima iwe kwa mzazi wake tu
 
Back
Top Bottom