Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
katiba yetu haiko sawa yaani na ww una haki sawa ya kupiga kura daahHaina shida kama wamefikisha miaka 18. Wewe ulitaka hao wanafunzi wakose haki yao ya kikatiba?
wanafunzi wa ngazi zote nchini ,wenye sifa na vigezo vya kikatiba vya kupiga kura kewnye uchaguzi,ni sharti washiriki zoezi hili muhimu sana la kujiandikisha kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa Nov 27,Wakuu,
Unaweza kuona ni kwa namna CCM wamepanga kutibua na kuharibu process nzima ya uchaguzi wa serikali za mitaa.
Mwalimu amewatoa wanafunzi madarasani kusoma, anawaongoza waende wakajiandikishe!
Hii ni mkoani Tabora!
Unaweza ukasoma na usielimike, mwalimu aliye waruhusu hao watoto wakajiandikishe hana kosa na nimemsikiliza huyo dada anawahamashisha watoto kwa upendo kabisa , tatizo lipo kwa huyo mwalimu aliye rekodi na kupost ajiandae kisaikilojia.Wakuu,
Unaweza kuona ni kwa namna CCM wamepanga kutibua na kuharibu process nzima ya uchaguzi wa serikali za mitaa.
Mwalimu amewatoa wanafunzi madarasani kusoma, anawaongoza waende wakajiandikishe!
Hii ni mkoani Tabora!
huo ni upotoshaji 🐒Hao hata miaka 15 hawajafika
Hii nchi hatuko huru.Wakuu,
Unaweza kuona ni kwa namna CCM wamepanga kutibua na kuharibu process nzima ya uchaguzi wa serikali za mitaa.
Mwalimu amewatoa wanafunzi madarasani kusoma, anawaongoza waende wakajiandikishe!
Hii ni mkoani Tabora!
Naungana na wewe 100% na hakuna kosa lolote hapo ,nampongeza madam huyo kaongeanna watoto kwa lugha ya uhamasishaji kabisa, ila huyo aliye rekodi na kutoa maneno kama naye ni mwalimu basi ajiandae kisaikolojiawanafunzi wa ngazi zote nchini ,wenye sifa na vigezo vya kikatiba vya kupiga kura kewnye uchaguzi,ni sharti washiriki zoezi hili muhimu sana la kujiandikisha kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa Nov 27,
kwasababu na wao ni sehemu ya jamii yenye haki ya kupata huduma za jamii eneo hilo, lakini pia wana wajibu wa kushiriki kuaamua mustakabali wa uongozi wa eneo husika na uongozi wa nchi pia 🐒
Naungana na wewe 100% na hakuna kosa lolote hapo ,nampongeza madam huyo kaongeanna watoto kwa lugha ya uhamasishaji kabisa, ila huyo aliye rekodi na kutoa maneno kama naye ni mwalimu basi ajiandae kisaikolowanafunzi wa ngazi zote nchini ,wenye sifa na vigezo vya kikatiba vya kupiga kura kewnye uchaguzi,ni sharti washiriki zoezi hili muhimu sana la kujiandikisha kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa Nov 27,
kwasababu na wao ni sehemu ya jamii yenye haki ya kupata huduma za jamii eneo hilo, lakini pia wana wajibu wa kushiriki kuaamua mustakabali wa uongozi wa eneo husika na uongozi wa nchi pia 🐒
Hauko huru kivipi tena ?Hii nchi hatuko huru.
Uko sahihi kigezo ni miaka 18Ni kawaida kwa wanafunzi wa form 4 kupiga kura, hata watoto wa Lissu wangekuwa nchini wangeenda kujiandikisha
Mleta mada pia ni tatizo kwenye jamii. Nadhani huyu mleta mada siyo riziki.Naungana na wewe 100% na hakuna kosa lolote hapo ,nampongeza madam huyo kaongeanna watoto kwa lugha ya uhamasishaji kabisa, ila huyo aliye rekodi na kutoa maneno kama naye ni mwalimu basi ajiandae kisaikolo
Sasa ni waende wenyewe ktk vituo mpaka waongozwe na walimu? Umeona wapi haya duniani? Tenda haki hii dunia ni mapito.Haina shida kama wamefikisha miaka 18. Wewe ulitaka hao wanafunzi wakose haki yao ya kikatiba?