Acha kukurupuka kutoa comment kama huna bando la kuangalia videoNadhani huyo mwl ana akili, wewe huna
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kukurupuka kutoa comment kama huna bando la kuangalia videoNadhani huyo mwl ana akili, wewe huna
Tazama video, usikoment kwa kufuata mkumboWalikuambia Wana miaka 18?
Huyo mwingine sio mwenzetu ????!!Naungana na wewe 100% na hakuna kosa lolote hapo ,nampongeza madam huyo kaongeanna watoto kwa lugha ya uhamasishaji kabisa, ila huyo aliye rekodi na kutoa maneno kama naye ni mwalimu basi ajiandae kisaikolojia
Hivi tabu iko wapi kama wamefikisha miaka 18? Ninachofahamu mimi, suala la kuhamasisha uandikishaji ni la watanzania wote. Baba, mjomba rafiki hata mpita njia.Wakuu,
Unaweza kuona ni kwa namna CCM wamepanga kutibua na kuharibu process nzima ya uchaguzi wa serikali za mitaa.
Mwalimu amewatoa wanafunzi madarasani kusoma, anawaongoza waende wakajiandikishe!
Hii ni mkoani Tabora!
Kwani mimi kukupeleka wewe kituo cha kuandikisha ni dhambi? Jamani, tueche kurudi miaka ya 1970.Sasa ni waende wenyewe ktk vituo mpaka waongozwe na walimu? Umeona wapi haya duniani? Tenda haki hii dunia ni mapito.