LGE2024 Ina maana Walimu wanawatoa wanafunzi darasani ili waende wakajiandikishe kwenye daftari? Hii video ya Tabora imenifikirisha sana!

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Halafu mbona siyo TABORA MKUUU HIVYO VYOTE VILIVYOTAJWA VIJO MBEYA
 
Wakuu,

Unaweza kuona ni kwa namna CCM wamepanga kutibua na kuharibu process nzima ya uchaguzi wa serikali za mitaa.

Mwalimu amewatoa wanafunzi madarasani kusoma, anawaongoza waende wakajiandikishe!

Hii ni mkoani Tabora!

Tukisema ni maelekezo kutoka JUU nani atakataa!

Kifo ni kifo tu!

GOD BLESS TANGANYIKA
 
Wakuu,

Unaweza kuona ni kwa namna CCM wamepanga kutibua na kuharibu process nzima ya uchaguzi wa serikali za mitaa.

Mwalimu amewatoa wanafunzi madarasani kusoma, anawaongoza waende wakajiandikishe!

Hii ni mkoani Tabora!

Tumekosea wapi kuwapa wanafuzni kutimiza wajibu wao wa kisiasa ...
 
Hayo ndiyo maelekezo ya Mchengerwa na wote wameambiwa wakapigie kura wagombea wa CCM. Hizi ndiyo 4R za Mama Abduli.
 
Sasa ni waende wenyewe ktk vituo mpaka waongozwe na walimu?
Mkuu mtoto akishafika shuleni ama anapokuwa shuleni, basi mtoto huyo yuko chini ya dhamana ya walimu. Lolote baya litakalompata mtoto itakuwa ni msala kwa walimu.

Wewe ulitaka wanafunzi waende peke yao kwenye vituo vya kuandikisha wapiga kura??
 
Wakuu,

Unaweza kuona ni kwa namna CCM wamepanga kutibua na kuharibu process nzima ya uchaguzi wa serikali za mitaa.

Mwalimu amewatoa wanafunzi madarasani kusoma, anawaongoza waende wakajiandikishe!

Hii ni mkoani Tabora!

Kama umri unaruhusu ni sahihi kujiandikisha uchaguzi ni muhimu zaidi kuliko kukosa masomo Kwa mda mfupi
 
Haina shida kama wamefikisha miaka 18. Wewe ulitaka hao wanafunzi wakose haki yao ya kikatiba?

Kuna sauti ya mwalimu mjinga inasikika hapo anasema "hawa wanataka kuharibu uchaguzi, hawa ni watoto tunawalea. Unasikia?........"

Huyu mwalimu mjinga akamatwe ahojiwe ni kwa jinsi gani uchaguzi utaharibika kwa kuhamasisha wanafunzi wenye miaka 18 kwenda kujiandikisha. Na akishindwa kutolea ufafanuzi kauli yake hii sheria kali ichukuliwe dhidi yake.
Daa; anyway...!
 
NYAU kabisa.kamkamate
 
Wakuu,

Unaweza kuona ni kwa namna CCM wamepanga kutibua na kuharibu process nzima ya uchaguzi wa serikali za mitaa.

Mwalimu amewatoa wanafunzi madarasani kusoma, anawaongoza waende wakajiandikishe!

Hii ni mkoani Tabora!

Vijana wa Kitanzania wangekuwa na akili basi ingekuwa rahii kuleta mabadiliko mana hawa hawa vijana wangejazwa utambuzi, lakini kutokana na ubovu wa elimu yetu, basi hao vijana watasagwa kama nyumbu kwenda kupiga kula kwa maelekezo na vitisho juu
 
Haina shida kama wamefikisha miaka 18. Wewe ulitaka hao wanafunzi wakose haki yao ya kikatiba?

Kuna sauti ya mwalimu mjinga inasikika hapo anasema "hawa wanataka kuharibu uchaguzi, hawa ni watoto tunawalea. Unasikia?........"

Huyu mwalimu mjinga akamatwe ahojiwe ni kwa jinsi gani uchaguzi utaharibika kwa kuhamasisha wanafunzi wenye miaka 18 kwenda kujiandikisha. Na akishindwa kutolea ufafanuzi kauli yake hii sheria kali ichukuliwe dhidi yake.
Walikuambia Wana miaka 18?
 
Kwani kunasehemu kwenye sheria za uchaguzi au katiba inakataza mwanafunzi kupiga kura kama ametimiza umri??
 
Tatizo lipo wapi?miaka yote ndio ivyo ilikuaga,na wanachagua waliofika miaka inatotakiwa,Haki yao
 
Haina shida kama wamefikisha miaka 18. Wewe ulitaka hao wanafunzi wakose haki yao ya kikatiba?

Kuna sauti ya mwalimu mjinga inasikika hapo anasema "hawa wanataka kuharibu uchaguzi, hawa ni watoto tunawalea. Unasikia?........"

Huyu mwalimu mjinga akamatwe ahojiwe ni kwa jinsi gani uchaguzi utaharibika kwa kuhamasisha wanafunzi wenye miaka 18 kwenda kujiandikisha. Na akishindwa kutolea ufafanuzi kauli yake hii sheria kali ichukuliwe dhidi yake.
Nadhani huyo mwl ana akili, wewe huna
 
Wakuu,

Unaweza kuona ni kwa namna CCM wamepanga kutibua na kuharibu process nzima ya uchaguzi wa serikali za mitaa.

Mwalimu amewatoa wanafunzi madarasani kusoma, anawaongoza waende wakajiandikishe!

Hii ni mkoani Tabora!

Kama hao wanafunzi wana umri wa miaka 18 na kuendelea haina shida kujiandikisha ni haki yao.

shida iliopo ni wiki zilizopita kabla mambo ya kujiandikisha hayajaanza nilishangaa CCM walikuja kuweka kambi shuleni wanaandikisha kadi za Electric yaani ni kwamba wanafunzi wenye miili mikubwa wanaambiwa wakajiandikishe hio haina kubisha basi ni shule zima wenye miili mikubwa wanajiandikisha sasa sijui Hela za kulipia kadi wanapewa na nani?

Hao wanafunzi wanaojiandikisha Serikali za mitaa hawana ujanja wa kukataa kupigia kura CCM yaani wanpelekwa kama mazombi tu yaani ninkwamba kura zote za wanafunzi sekondari ni za CCM.
 
Wakuu,

Unaweza kuona ni kwa namna CCM wamepanga kutibua na kuharibu process nzima ya uchaguzi wa serikali za mitaa.

Mwalimu amewatoa wanafunzi madarasani kusoma, anawaongoza waende wakajiandikishe!

Hii ni mkoani Tabora!

HUYU JAMAA MUONGO SANA KWANZA HIYO SIO TABORA WATU KUWENI MAKINI HAWA JAMAA HAWANA AKILI SAWA SAWA
 
Back
Top Bottom