Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
This is so weird to me.
Why are we normalizing the disappearance of whole human beings?
Wanapotea watu wazima kabisa na familia zao halafu jamii nzima ni kama imekubali tu acha wapotee!
Coverage kwenye vyombo vya habari, hakuna.
Tungekuwa na responsible media kungekuwa na continuous coverage.
Front page na kwenye tv screens kungekuwa na counter ya idadi ya siku ambazo watu wamepotea.
Hivi ni kwamba watu ni waoga kiasi hicho au ni hawajali tu?
Kwa nini hao viongozi haramu wa serikali haramu ya Samia hawawi heckled kila waonyeshapo nyuso zao hadharani?
Nitarudi na uzi wa kuhesabu siku ambazo hao watu wamepotea na utakuwa updated daily ili kuakisi idadi ya siku walizotoweka.
We should be ashamed of ourselves.