Ina maana Watanzania tumeshaukubali upoteaji wa binadamu kama upoteaji wa funguo?

Ina maana Watanzania tumeshaukubali upoteaji wa binadamu kama upoteaji wa funguo?

Kwahiyo ni halali kwa watanzania kupotea kwasababu wajerumani wanapotea? Hivi ni kwanini tunapenda kujilinganisha kwenye upumbavu? Ni binadamu hao unaongelea kama unaongelea sisimizi! Kwani mnalishwa nini huko ujambazini hadi mnakuwa vichaa kiasi hiki?
Kwenye jamii kubwa ya watu wengi milion 70,kuna kila aina ya MATUKIO!,ubaya wa binadamu huyu hautabiriki na kuuzuia by 100% imeshindikana mpaka huko America na canada!
#Hata kenge chadema wakishika nchi kutahakikishia security kwa 100% HAWATAWEZA kamwe!...
 
CCM ni haramu ,
Utawala haramu

Mnaua watu,mnateka watu hizo ni damu za watu zitawamiliza ipo siku

Ipo siku CCM itatoka madarakani na mtaishi kama mashetani

Mimi Kila siku naiombea nchi yangu

Kuna siku tutapata mkuu wa majeshi atawatoa

Hizi nchi zilikuwa Mungu mtu
1. Gabon – 2023: Jenerali Brice Oligui Nguema
2. Burkina Faso – 2014: Jenerali HonorĆ© TraorĆ©
3. Guinea – 2021: Kanali Mamady Doumbouya
4. Sudan – 2019: Luteni Jenerali Ahmed Awad Ibn Auf
5. Zimbabwe – 2017: Jenerali Constantino Chiwenga
6. Chad – 2021: Jenerali Mahamat Idriss DĆ©by
7. Togo – 2005: Jenerali Zakari Nandja
8. Mali – 2020: Kanali Assimi GoĆÆta
9. Gambia – 1994: Luteni Yahya Jammeh
10. Liberia – 1980: Sajenti Mkuu Samuel Doe

Msipotoka kwa njia ya halali ipo siku mtafulumushwa
 
This is so weird to me.

Why are we normalizing the disappearance of whole human beings?

Wanapotea watu wazima kabisa na familia zao halafu jamii nzima ni kama imekubali tu acha wapotee!

Coverage kwenye vyombo vya habari, hakuna.

Tungekuwa na responsible media kungekuwa na continuous coverage.

Front page na kwenye tv screens kungekuwa na counter ya idadi ya siku ambazo watu wamepotea.

Hivi ni kwamba watu ni waoga kiasi hicho au ni hawajali tu?

Kwa nini hao viongozi haramu wa serikali haramu ya Samia hawawi heckled kila waonyeshapo nyuso zao hadharani?

Nitarudi na uzi wa kuhesabu siku ambazo hao watu wamepotea na utakuwa updated daily ili kuakisi idadi ya siku walizotoweka.

We should be ashamed of ourselves.
Kaka nchi yetu imekuwa nchi ya wajinga sana. Watu wanakufa ovyo halafu tumenyamaza kama nyumbu. Shame on this country and it's leaders. Hao akina Kabudi wamenunuliwa, watanganyika wameuawa wao wamekaa kimya tu.
 
tuliza kiherehere mtakatifu mwenye mihemko nonsense jukwaani šŸ’

Hakuna mwanadamu kamili, mwenye akili timamu, na mwenye Roho wa Mungu anayeweza kufurahia au kuona mauaji ya mwanadamu mwenzake ni jambi la kawaida. Mtawala anayeua ni yule pekee aliyepotelewa na hekima. Ukiona unafurahia mauaji ya binadamu wenzako, kwa sababu za kiwendawazimu, kama vile madaraka, tambua kuwa shetani amekupumbaza akili ili akupoteze milele. Nchi ipo katika laana kwa kumwaga damu za watu.
 
Ondoa upumbavu wako wewe mshamba, watu wanauliwa na Samuya unataka tunyamaze fala wewe?
unadhani waTanzania wanababaishwa na mihemko useless kama hiyo gentleman?

thus just hot air,
wananchi wanachapa kazi zao kwa amani regardless ya makasiriko yako useless, pamoja na yawafuata mkumbo wenzako šŸ’
 
Hakuna mwanadamu kamili, mwenye akili timamu, na mwenye Roho wa Mungu anayeweza kufurahia au kuona mauaji ya mwanadamu mwenzake ni jambi la kawaida. Mtawala anayeua ni yule pekee aliyepotelewa na hekima. Ukiona unafurahia mauaji ya binadamu wenzako, kwa sababu za kiwendawazimu, kama vile madaraka, tambua kuwa shetani amekupumbaza akili ili akupoteze milele. Nchi ipo katika laana kwa kumwaga damu za watu.
hiyo ni porojo gentleman.

hakuna mTanzania mchapakazi anaeweza kubabaika na porojo useless kama hizo gentleman.

waTanzania wanaenjoy kuendelea kuchapa kazi zao kwa amani na sio kubabaika na hizo porojo useless šŸ’
 
Relax bas,
mwambie na mtoa hoja acheni porojo na upotoshaji jukwaani na itapendeza zaidi šŸ’
1792128674660.png
 
Ujerumani ni nchi ndogo kwa ukubwa wa ardhi,upotevu wa watu kwa mwaka ni watu 100,000 kumbuka ni nchi yenye tecnolojia za kiusalama za hali ya juu,
Tanzania na ukubwa wake watu hawapotei 25 kwa mwaka,pamoja na uduni wa tecnolojia za kiusalama kulinganisha na ujerumani.
Wacha uongo
 
Back
Top Bottom