Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
sidhani kama kuna mTanzania makini anaweza kubabaika na porojo na upotoshaji nonsense kama huu jukwaani na aache kuchapa kazi za maendeleo yake na familia yake 🐒This is so weird to me.
Why are we normalizing the disappearance of whole human beings?
Wanapotea watu wazima kabisa na familia zao halafu jamii nzima ni kama imekubali tu acha wapotee!
Coverage kwenye vyombo vya habari, hakuna.
Tungekuwa na responsible media kungekuwa na continuous coverage.
Front page na kwenye tv screens kungekuwa na counter ya idadi ya siku ambazo watu wamepotea.
Hivi ni kwamba watu ni waoga kiasi hicho au ni hawajali tu?
Kwa nini hao viongozi haramu wa serikali haramu ya Samia hawawi heckled kila waonyeshapo nyuso zao hadharani?
Nitarudi na uzi wa kuhesabu siku ambazo hao watu wamepotea na utakuwa updated daily ili kuakisi idadi ya siku walizotoweka.
We should be ashamed of ourselves.
Mamlaka yote ni ya Watanzania. Siyo watawala.Huwezi kushindana na mamlaka
You’re a pussysidhani kama kuna mTanzania makini anaweza kubabaika na porojo na upotoshaji nonsense kama huu jukwaani na aache kuchapa kazi za maendeleo yake na familia yake 🐒
kwamba waTanzania waaache kuchapa kazi zao kwa manufaa yao, familia zao na taifa lao, wababaishwe au wazingatie namna unavyopotosha, unavyotukana na kuporomosha matusi jukwaani?You’re a pussy
Hebu nipe chanzo cha hizi takwimu kakaUjerumani ni nchi ndogo kwa ukubwa wa ardhi,upotevu wa watu kwa mwaka ni watu 100,000 kumbuka ni nchi yenye tecnolojia za kiusalama za hali ya juu,
Tanzania na ukubwa wake watu hawapotei 25 kwa mwaka,pamoja na uduni wa tecnolojia za kiusalama kulinganisha na ujerumani.
Finds disappearance kwa nchi mbali mbali ulete mrejesho hapa.Hebu nipe chanzo cha hizi takwimu kaka
We mpuuzi ufike wakati uwe binadamu hata kidogo basi, ina maana kwako wewe hawa watawala wana thamani kuliko hata wewe mwenyewe? Ina maana huna thamani yoyote ile? Si bora ufe tu kuliko kuishi mtu mjinga kama wewe?kwamba waTanzania waaache kuchapa kazi zao kwa manufaa yao, familia zao na taifa lao, wababaishwe au wazingatie namna unavyopotosha, unavyotukana na kuporomosha matusi jukwaani?
that's will be completely nonsense gentleman.
ni msusia uchaguzi na mfuata mkumbo pekee ndie anaweza kuzingatia hiyo porojo yako nonsense 🐒
Bado miezi 17 tu countdown.... wahuni wataanza kutaayarika...This is so weird to me.
Why are we normalizing the disappearance of whole human beings?
Wanapotea watu wazima kabisa na familia zao halafu jamii nzima ni kama imekubali tu acha wapotee!
Coverage kwenye vyombo vya habari, hakuna.
Tungekuwa na responsible media kungekuwa na continuous coverage.
Front page na kwenye tv screens kungekuwa na counter ya idadi ya siku ambazo watu wamepotea.
Hivi ni kwamba watu ni waoga kiasi hicho au ni hawajali tu?
Kwa nini hao viongozi haramu wa serikali haramu ya Samia hawawi heckled kila waonyeshapo nyuso zao hadharani?
Nitarudi na uzi wa kuhesabu siku ambazo hao watu wamepotea na utakuwa updated daily ili kuakisi idadi ya siku walizotoweka.
We should be ashamed of ourselves.
Kwahiyo ni halali kwa watanzania kupotea kwasababu wajerumani wanapotea? Hivi ni kwanini tunapenda kujilinganisha kwenye upumbavu? Ni binadamu hao unaongelea kama unaongelea sisimizi! Kwani mnalishwa nini huko ujambazini hadi mnakuwa vichaa kiasi hiki?Ujerumani ni nchi ndogo kwa ukubwa wa ardhi,upotevu wa watu kwa mwaka ni watu 100,000 kumbuka ni nchi yenye tecnolojia za kiusalama za hali ya juu,
Tanzania na ukubwa wake watu hawapotei 25 kwa mwaka,pamoja na uduni wa tecnolojia za kiusalama kulinganisha na ujerumani.
muerevu with pointless comment,We mpuuzi ufike wakati uwe binadamu hata kidogo basi, ina maana kwako wewe hawa watawala wana thamani kuliko hata wewe mwenyewe? Ina maana huna thamani yoyote ile? Si bora ufe tu kuliko kuishi mtu mjinga kama wewe?
Watanzania ni watu wa ovyo na wabinafsi mno, kila mtu anaangalia maslahi yake, Hakuna hata mtu mmoja anawaza mambo ya mtu mwingine.This is so weird to me.
Why are we normalizing the disappearance of whole human beings?
Wanapotea watu wazima kabisa na familia zao halafu jamii nzima ni kama imekubali tu acha wapotee!
Coverage kwenye vyombo vya habari, hakuna.
Tungekuwa na responsible media kungekuwa na continuous coverage.
Front page na kwenye tv screens kungekuwa na counter ya idadi ya siku ambazo watu wamepotea.
Hivi ni kwamba watu ni waoga kiasi hicho au ni hawajali tu?
Kwa nini hao viongozi haramu wa serikali haramu ya Samia hawawi heckled kila waonyeshapo nyuso zao hadharani?
Nitarudi na uzi wa kuhesabu siku ambazo hao watu wamepotea na utakuwa updated daily ili kuakisi idadi ya siku walizotoweka.
We should be ashamed of ourselves.
Unataka kuhalalisha nini HAPA? Na je wanapotea kwa sababu zinazo onekana ni za kisiasaa?Ujerumani ni nchi ndogo kwa ukubwa wa ardhi,upotevu wa watu kwa mwaka ni watu 100,000 kumbuka ni nchi yenye tecnolojia za kiusalama za hali ya juu,