kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 13,966
- 26,220
Kipindi flani wakati Mbowe yuko gerezani na kesi yake ya ugaidi, ilikua haipiti siku mbili bila kuletewa feedback humu jukwaani kuwa wanachama kadhaa wa CHADEMA wameenda kumtembelea mwenyekiti gerezani na kawapa ujumbe flani waulete kwa umma.
Sasa nashangaa zama hizi za Lissu, yuko gerezani lkn hakuna mwanachama anayeenda kumtembelea mwenyekiti huko magereza.
Je wanachama wamemsusa mwenyekiti ama hii imekaa namna gani?
Sasa nashangaa zama hizi za Lissu, yuko gerezani lkn hakuna mwanachama anayeenda kumtembelea mwenyekiti huko magereza.
Je wanachama wamemsusa mwenyekiti ama hii imekaa namna gani?