Ina maana weekend yote hakuna mwana chadema aliyeenda kumtembelea mwenyekiti gerezani?

Kaenda mmoja tu, Dickson Matata, wakiili wa Mbowe ambaye Lissu alikuwa anamtukana
Wakili wa lisu ni kibatala engine wote washirika

Kingene chadema inakurugenzi ya Sheria chini ya Dr nshala lugemeleza( unataka wawe wanaenda kumsabai lupango wakati shitaki tayari wameshapewa )

Lisu sio mbowe lialia
 
Kipindi flani wakati Mbowe yuko gerezani na kesi yake ya ugaidi, ilikua haipiti siku mbili bila kuletewa feedback humu jukwaani kuwa wanachama kadhaa wa CHADEMA wameenda kumtembelea mwenyekiti gerezani na kawapa ujumbe flani waulete kwa umma.

Sasa nashangaa zama hizi za Lissu, yuko gerezani lkn hakuna mwanachama anayeenda kumtembelea mwenyekiti huko magereza.

Je wanachama wamemsusa mwenyekiti ama hii imekaa namna gani?
We inakuwaje watu hawajaend? Nimeambiwa foleni ni kubwa Sana huko mkuu
 
Mkuu umegeuka mfuasi wa Mh Lissu toka lini ili hali mimi najua wewe ni mfuasi wa yule mfu aliyekuwa anawaita nyie ni wanyonge na mnafurahia kweli kweli
Mm sio mfuasi wake ila nilikuwa namkubali
 
So na wewe ni mnyonge mkuu?
Sijawahi kuwa shabiki wa siasa za Tanzania na vyama vyake.

Mm nataka wananchi wnyw ndio wapambane kutaka haki zao bila kuwa na msukomo wa chama fulani kama ilivyokuwa Kenya kwenye yale maandamano, hapa Mm nitakuwa mbele kabisa, lkn haya mambo ya kuweka siasa ni sawa na kumuondoa mwizi wa zamani ili umuweke mwizi mpya.
 
Kipindi flani wakati Mbowe yuko gerezani na kesi yake ya ugaidi, ilikua haipiti siku mbili bila kuletewa feedback humu jukwaani kuwa wanachama kadhaa wa CHADEMA wameenda kumtembelea mwenyekiti gerezani na kawapa ujumbe flani waulete kwa umma.

Sasa nashangaa zama hizi za Lissu, yuko gerezani lkn hakuna mwanachama anayeenda kumtembelea mwenyekiti huko magereza.

Je wanachama wamemsusa mwenyekiti ama hii imekaa namna gani?
Kampe taarifa makalla na Wasira wakupe uji wa virusi umpelekee
 
Atawatoa roho huyu mwanaume yani! Hamlali hampumui mawazo yote kwa simba! Na mnasema keshaua chadema
 
Kipindi flani wakati Mbowe yuko gerezani na kesi yake ya ugaidi, ilikua haipiti siku mbili bila kuletewa feedback humu jukwaani kuwa wanachama kadhaa wa CHADEMA wameenda kumtembelea mwenyekiti gerezani na kawapa ujumbe flani waulete kwa umma.

Sasa nashangaa zama hizi za Lissu, yuko gerezani lkn hakuna mwanachama anayeenda kumtembelea mwenyekiti huko magereza.

Je wanachama wamemsusa mwenyekiti ama hii imekaa namna gani?
Wewe utakuwa ni mtu mjinga sana. Yaani Lissu huyo huyo aliyepuganiwa na naelfu hafi kunshinda Mbowe miezi mitatu iliyopita Eti Leo akise watu wa kwenda kumuona?

Hata kuwaza tu hili ni dalili ya kuchanganyikiwa.

Lissu ana maelfu ya watu ndani ya TZ na nje ya TZ ambao wsnampenda na kumuombea. Hawawezi kushindwa kwenda kumuona.
 
Wakili wa lisu ni kibatala engine wote washirika

Kingene chadema inakurugenzi ya Sheria chini ya Dr nshala lugemeleza( unataka wawe wanaenda kumsabai lupango wakati shitaki tayari wameshapewa )

Lisu sio mbowe lialia
Huyo mkurugenzi wa sheria hajawahi kushinda kesi hata kwenye ofisi ya mtaa
 
Kipindi flani wakati Mbowe yuko gerezani na kesi yake ya ugaidi, ilikua haipiti siku mbili bila kuletewa feedback humu jukwaani kuwa wanachama kadhaa wa CHADEMA wameenda kumtembelea mwenyekiti gerezani na kawapa ujumbe flani waulete kwa umma.

Sasa nashangaa zama hizi za Lissu, yuko gerezani lkn hakuna mwanachama anayeenda kumtembelea mwenyekiti huko magereza.

Je wanachama wamemsusa mwenyekiti ama hii imekaa namna gani?
AISEE WATANZANIA HUWAJUI VIZURI WEWE LISSU ALIKUWA ANAJIPA MATUMAINI KUWA ANAKUNDI KUBWA LA WATU WANAMFUATA KUMBE YUPO PEKEYAKE HUO NI MFANO TU JE ATAWEZA KUWAINGIZA BARABARANI KUZUIA UCHAGUZI MKUU?? ANAMWAZO MGANDO SANA LISSU HAFAI KUWA KIONGOZI
 
Mmemsusa?
Ni shida sana kujibizana na watu wasiosoma na machawa.
Mandela alifungwa gereza la kisiwani. Ulishawahi kujiuliza ni wana ANC wangapi waliowahi kumtembelea kwa miaka yote 27 ?
Wewe unaamini kila ajaaye MSIBANI Huja kuomboleza???
 
Mwenyekiti kajichanganya mwenyewe kutangaza hadharani anachofanya ni uasi.
Iyo kweli mkuu ishu angefanyia ndani ya chama chake asingekuwa tatizo lkn kutoka kwenda kwa Wananchi ndio tatizo la kisheria linaanzia apo!!!

Serikali imeshaanza kutumia rasilimali zake kuandaa Uchaguzi ikiwemo Vitanbulisho vyakupigia kura.

Sasa kutokea mtu yeye anapita pita kuamasisha watu wasiitikie wito wa kufanyika Uchaguzi kosa kubwa..

angeweza kufanya iyo mgogolo Baada ya uchaguzi huu au tangu January ya 2024 waekana Sawa na Serikali lkn pia muda upo wakuyafanyia kazi madai !!

Ambayo uwezi sema sio halal !! lkn kwasasa ni Halamu!!
 
Mimi kwenda au kutokuenda haibadili chochote. Na wala pia sina haja ya kukuambia wewe au kuweka mtandaoni kwani hayakuhusu.
Ahahahahaha! Ila mengine unayoweka humu uananihusu sio? Wewe una akili!!?👉👉👉👉
 
Hiyo taarifa kama hajatembelewa umeipata kutoka chanzo kipi mkali mbona cc wajumbe tawi la segerea tumetoka huko
 
Back
Top Bottom