Mmmmm maisha ni safari ndefuuuu sanaaaKipindi flani wakati mbowe yuko gerezani na kesi yake ya ugaidi,ilikua haipiti siku mbili bila kuletewa feedback humu jukwaani kuwa wanachama kadhaa wa chadema wameenda kumtembelea mwenyekiti gerezani na kawapa ujumbe flani waulete kwa umma.
Sasa nashangaa zama hizi za Lisu,yuko gerezani lkn hakuna mwanachama anayeenda kumtembelea mwenyekiti huko magereza.
Je wanachama wamemsusa mwenyekiti ama hii imekaa namna gani?
Ina maana wewe weekend yote hii umeshindwa kufanya lolote ila kumfuatilia mwamba yule,Kati yenu nyie hakuna anaeweza kuwa na moyo na ushujaa Kama lissu,kwanza haogopi,,ukiona mtu anategemea Sana polisi Basi jua mtu huyo ni muoga Sana wa jelaKipindi flani wakati mbowe yuko gerezani na kesi yake ya ugaidi,ilikua haipiti siku mbili bila kuletewa feedback humu jukwaani kuwa wanachama kadhaa wa chadema wameenda kumtembelea mwenyekiti gerezani na kawapa ujumbe flani waulete kwa umma.
Sasa nashangaa zama hizi za Lisu,yuko gerezani lkn hakuna mwanachama anayeenda kumtembelea mwenyekiti huko magereza.
Je wanachama wamemsusa mwenyekiti ama hii imekaa namna gani?
Jikite kwenye hojaIna maana wewe weekend yote hii umeshindwa kufanya lolote ila kumfuatilia mwamba yule,Kati yenu nyie hakuna anaeweza kuwa na moyo na ushujaa Kama lissu,kwanza haogopi,,ukiona mtu anategemea Sana polisi Basi jua mtu huyo ni muoga Sana wa jela
Apambane na hali yakeKipindi flani wakati mbowe yuko gerezani na kesi yake ya ugaidi,ilikua haipiti siku mbili bila kuletewa feedback humu jukwaani kuwa wanachama kadhaa wa chadema wameenda kumtembelea mwenyekiti gerezani na kawapa ujumbe flani waulete kwa umma.
Sasa nashangaa zama hizi za Lisu,yuko gerezani lkn hakuna mwanachama anayeenda kumtembelea mwenyekiti huko magereza.
Je wanachama wamemsusa mwenyekiti ama hii imekaa namna gani?
Watu wanafiki ujueKipindi flani wakati mbowe yuko gerezani na kesi yake ya ugaidi,ilikua haipiti siku mbili bila kuletewa feedback humu jukwaani kuwa wanachama kadhaa wa chadema wameenda kumtembelea mwenyekiti gerezani na kawapa ujumbe flani waulete kwa umma.
Sasa nashangaa zama hizi za Lisu,yuko gerezani lkn hakuna mwanachama anayeenda kumtembelea mwenyekiti huko magereza.
Je wanachama wamemsusa mwenyekiti ama hii imekaa namna gani?
Lisu ameshasema hataki watu wajazane kumwangalia yeye wakati Kuna shughuli ya chama kitaifaKipindi flani wakati mbowe yuko gerezani na kesi yake ya ugaidi,ilikua haipiti siku mbili bila kuletewa feedback humu jukwaani kuwa wanachama kadhaa wa chadema wameenda kumtembelea mwenyekiti gerezani na kawapa ujumbe flani waulete kwa umma.
Sasa nashangaa zama hizi za Lisu,yuko gerezani lkn hakuna mwanachama anayeenda kumtembelea mwenyekiti huko magereza.
Je wanachama wamemsusa mwenyekiti ama hii imekaa namna gani?
Kwani una muda gani tangu uanze ulinzi gerezani hapo!!! Umejuaje hawaendi kumtembelea au ulitaka wawe wanakuletea ripoti wewe?Kipindi flani wakati mbowe yuko gerezani na kesi yake ya ugaidi,ilikua haipiti siku mbili bila kuletewa feedback humu jukwaani kuwa wanachama kadhaa wa chadema wameenda kumtembelea mwenyekiti gerezani na kawapa ujumbe flani waulete kwa umma.
Sasa nashangaa zama hizi za Lisu,yuko gerezani lkn hakuna mwanachama anayeenda kumtembelea mwenyekiti huko magereza.
Je wanachama wamemsusa mwenyekiti ama hii imekaa namna gani?
Huyo ni Malaya ametoka kitambaa cheupe bado ana mawenge ya kvantKwani una muda gani tangu uanze ulinzi gerezani hapo!!! Umejuaje hawaendi kumtembelea au ulitaka wawe wanakuletea ripoti wewe?
AtajijuaMmemsusa?
Kwani wewe upo kituo cha polisi?.Kipindi flani wakati Mbowe yuko gerezani na kesi yake ya ugaidi, ilikua haipiti siku mbili bila kuletewa feedback humu jukwaani kuwa wanachama kadhaa wa CHADEMA wameenda kumtembelea mwenyekiti gerezani na kawapa ujumbe flani waulete kwa umma.
Sasa nashangaa zama hizi za Lissu, yuko gerezani lkn hakuna mwanachama anayeenda kumtembelea mwenyekiti huko magereza.
Je wanachama wamemsusa mwenyekiti ama hii imekaa namna gani?