Ina maana weekend yote hakuna mwana chadema aliyeenda kumtembelea mwenyekiti gerezani?

Umelemazwa na tabia ya ccm kwenda mahali na makamera kusaka kiki. Cdm hawana siasa hizo za kiki boss.
 
Ulitaka mpk wapitie nyumbani kwako?
 
Ukweli Lissu HAKUBARIKI CHADEMA bali analazimisha tu!
 
Kwa lissu ni mziki mnene ngoma inogile, ukijipeleka kichwakichwa unadakwa na kuwekwa ndani kwa kupakaziwa ni mhaini. Pale tunaenda invisible kukwepa majahili. Lissu atatoka tu hakuna wasiwasi juu ya hilo
 
Watu wanafiki ujue
Watu wanajua Lissu kwa sasa hana msaada kwao.Walikuwa wanajipendekeza kusaka vyeo ulaji,ubunge,udiwani hata uwaziri kama Lissu angemshinda Raisi Samia.
Already wameishafanya risk assessments hasa baada ya Katibu mkuu wa Chadema Mnyika kukakataa takwa la Tume ya Maadili ya Uchaguzi, hivyo kuiondoa Chadema kwenye 2025 General Election.
Siku hazigandi tegemea kuona wagombea nafasi za Ubunge udiwani hata Uraisi kupitia vyama vingine vya upinzani waliokuwa Pro No Reform no Election ya Mheshimiwa Lissu.
 
Mwenyekiti kajichanganya mwenyewe kutangaza hadharani anachofanya ni uasi.
 
Kama wewe ni me basi kuwa makini, Lokole anaweza kuwa rafiki yako soon. Ila kama ni wewe ni ke basi sawa. Kumbuka NRNE.
 
hata wewe hujaenda
 
Wafuasi tupo mitandaoni tumeandamana haki ya lissu ipatikane 😂
Mkuu umegeuka mfuasi wa Mh Lissu toka lini ili hali mimi najua wewe ni mfuasi wa yule mfu aliyekuwa anawaita nyie ni wanyonge na mnafurahia kweli kweli
 
Kwani una muda gani tangu uanze ulinzi gerezani hapo!!! Umejuaje hawaendi kumtembelea au ulitaka wawe wanakuletea ripoti wewe?
ni vema waende kwa maandamano na media zionyeshe hiyo "Unbreakable solidarity"
 
Reactions: Tui
Kwani Lissu yuko wapi?
Keko au Segerea?
Kuwatembelea watu jela ni very intimidating.
Wale walinzi wanakuuliza maswali...
 
Ina maana wewe weekend yote hii umeshindwa kufanya lolote ila kumfuatilia mwamba yule,Kati yenu nyie hakuna anaeweza kuwa na moyo na ushujaa Kama lissu,kwanza haogopi,,ukiona mtu anategemea Sana polisi Basi jua mtu huyo ni muoga Sana wa jela
Eti mwamba, we unaenjoy jua na oksijeni huku mitaa mwenzako yuko korokoroni ananyea ndoo bado unamwita mwamba? Kwl wajinga ndio waliwao. Lissu hana akili
 
Reactions: Tui
Kwl akili ndogo huitesa mwili,Lissu ni akili ndogo, akili siyo kukariri vifungu vya sheria
 
Tupo msibani huku wewe unatoa mipovu huko kabla hata hujapiga mswaki. Wahi tumzike mwenzetu mchango inaendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…