kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 18,577
- 23,171
Wakili wa lisu ni kibatala engine wote washirikaKaenda mmoja tu, Dickson Matata, wakiili wa Mbowe ambaye Lissu alikuwa anamtukana
We inakuwaje watu hawajaend? Nimeambiwa foleni ni kubwa Sana huko mkuuKipindi flani wakati Mbowe yuko gerezani na kesi yake ya ugaidi, ilikua haipiti siku mbili bila kuletewa feedback humu jukwaani kuwa wanachama kadhaa wa CHADEMA wameenda kumtembelea mwenyekiti gerezani na kawapa ujumbe flani waulete kwa umma.
Sasa nashangaa zama hizi za Lissu, yuko gerezani lkn hakuna mwanachama anayeenda kumtembelea mwenyekiti huko magereza.
Je wanachama wamemsusa mwenyekiti ama hii imekaa namna gani?
Mm sio mfuasi wake ila nilikuwa namkubaliMkuu umegeuka mfuasi wa Mh Lissu toka lini ili hali mimi najua wewe ni mfuasi wa yule mfu aliyekuwa anawaita nyie ni wanyonge na mnafurahia kweli kweli
So na wewe ni mnyonge mkuu?Mm sio mfuasi wake ila nilikuwa namkubali
Sijawahi kuwa shabiki wa siasa za Tanzania na vyama vyake.So na wewe ni mnyonge mkuu?
Kampe taarifa makalla na Wasira wakupe uji wa virusi umpelekeeKipindi flani wakati Mbowe yuko gerezani na kesi yake ya ugaidi, ilikua haipiti siku mbili bila kuletewa feedback humu jukwaani kuwa wanachama kadhaa wa CHADEMA wameenda kumtembelea mwenyekiti gerezani na kawapa ujumbe flani waulete kwa umma.
Sasa nashangaa zama hizi za Lissu, yuko gerezani lkn hakuna mwanachama anayeenda kumtembelea mwenyekiti huko magereza.
Je wanachama wamemsusa mwenyekiti ama hii imekaa namna gani?
Wewe utakuwa ni mtu mjinga sana. Yaani Lissu huyo huyo aliyepuganiwa na naelfu hafi kunshinda Mbowe miezi mitatu iliyopita Eti Leo akise watu wa kwenda kumuona?Kipindi flani wakati Mbowe yuko gerezani na kesi yake ya ugaidi, ilikua haipiti siku mbili bila kuletewa feedback humu jukwaani kuwa wanachama kadhaa wa CHADEMA wameenda kumtembelea mwenyekiti gerezani na kawapa ujumbe flani waulete kwa umma.
Sasa nashangaa zama hizi za Lissu, yuko gerezani lkn hakuna mwanachama anayeenda kumtembelea mwenyekiti huko magereza.
Je wanachama wamemsusa mwenyekiti ama hii imekaa namna gani?
Huyo mkurugenzi wa sheria hajawahi kushinda kesi hata kwenye ofisi ya mtaaWakili wa lisu ni kibatala engine wote washirika
Kingene chadema inakurugenzi ya Sheria chini ya Dr nshala lugemeleza( unataka wawe wanaenda kumsabai lupango wakati shitaki tayari wameshapewa )
Lisu sio mbowe lialia
AISEE WATANZANIA HUWAJUI VIZURI WEWE LISSU ALIKUWA ANAJIPA MATUMAINI KUWA ANAKUNDI KUBWA LA WATU WANAMFUATA KUMBE YUPO PEKEYAKE HUO NI MFANO TU JE ATAWEZA KUWAINGIZA BARABARANI KUZUIA UCHAGUZI MKUU?? ANAMWAZO MGANDO SANA LISSU HAFAI KUWA KIONGOZIKipindi flani wakati Mbowe yuko gerezani na kesi yake ya ugaidi, ilikua haipiti siku mbili bila kuletewa feedback humu jukwaani kuwa wanachama kadhaa wa CHADEMA wameenda kumtembelea mwenyekiti gerezani na kawapa ujumbe flani waulete kwa umma.
Sasa nashangaa zama hizi za Lissu, yuko gerezani lkn hakuna mwanachama anayeenda kumtembelea mwenyekiti huko magereza.
Je wanachama wamemsusa mwenyekiti ama hii imekaa namna gani?
Ni shida sana kujibizana na watu wasiosoma na machawa.Mmemsusa?
UongoUmelemazwa na tabia ya ccm kwenda mahali na makamera kusaka kiki. Cdm hawana siasa hizo za kiki boss.
Umeenda kumtembelea korokoroni?Sema nyie ndiyo hamtaki mtu makini kama Mh Lisuu. Kura zilipigwa waziwazi na akashinda, sasa hakubaliki na nani zaidi ya nyie mamluki?
Iyo kweli mkuu ishu angefanyia ndani ya chama chake asingekuwa tatizo lkn kutoka kwenda kwa Wananchi ndio tatizo la kisheria linaanzia apo!!!Mwenyekiti kajichanganya mwenyewe kutangaza hadharani anachofanya ni uasi.
Mimi kwenda au kutokuenda haibadili chochote. Na wala pia sina haja ya kukuambia wewe au kuweka mtandaoni kwani hayakuhusu.Umeenda kumtembelea korokoroni?
Ahahahahaha! Ila mengine unayoweka humu uananihusu sio? Wewe una akili!!?ππππMimi kwenda au kutokuenda haibadili chochote. Na wala pia sina haja ya kukuambia wewe au kuweka mtandaoni kwani hayakuhusu.