mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
- Thread starter
-
- #21
Nikwambie kitu, kipindi cha sikuku za krismas na mwaka mpya ni kipindi kigumu sana kwenye epl maana mechi huwa ni nyingi sana za karibu karibu! Timu ikitoboa kipindi hiki ikiwa imewaacha wenzake kwa mbali kama ilivyo kwa arsenal msimu huu ujue kuikamata ni kazi kubwa sana!Bado mechi 23 unasema arsenal atakuwa bingwa itakuwa hujui mpira maana hata round ya kwanza ligi haijiisha ngoja zibaki kama mechi kumi ndio uje na utabiri huu vingenvyo usirudie tena hayo maneno
Asante sana kwa data zisizokanushika!! Namba hazidanganyi!Liverpool 2 - 3 Arsenal
Arsenal 3 - 1 Tottenham
Chelsea 0 - Arsenal 1
Sasa sijajua unasema Liverpool na Tottenham wamfunge Arsenal ipi kwasababu timu zote hizo wameshakutana na Arsenal Round ya kwanza na Arsenal kashinda.
Timu kubwa iliyomfunga Arsenal Round ya kwanza ni Man U,hao Man city bado hawajakutana na Arsenal na wao wataiona shughuli!.
Nyie mme wenu ni man u tuEti tufungwe na Tottenham, Liverpool na Man City? Kweli we jamaa Ni boya kabisa
Man U ndo alibahatika kuweka doa kwenye rekodi iliyotukuka ya arsenal msimu huu. Tungekuwa tunazungumzia unbeaten mechi 16!!Nyie mme wenu ni man u tu
Arsenal ya msimu huu ni moto sana!! Kama wamestahimili kipindi hiki cha sikukuu cha mechi mfululizo, uwezekano wa kukamatika kwa sasa ni mdogo sana japo kwenye soka lolote linawezekana!Hawa Arsenal wananikumbusha Leicester city kama mzaha mwisho ikawa
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Point 7 sio nyingi mzee baba epl ina maajabu yakeArsenal inacheza vizuri sana mwaka huu, halafu ina hamasa kubwa. Inaongoza kwa pointi 43, Man city inafuatia kwa mbali kwa pointi 36. Imefungwa mara moja tu na kutoka sare mara moja!
Klabu zingine zisubiri mwakani!!
Bahati yao jana goli la 3 lilikatiliwa vinginevyo brighton alikua anaipeleka sare ile gameNi wabovu wakiwa under pressure, the best way arsenal muda wote wanatakiwa kushambulia kupack basi hawajui, na game ya jana ni ishara. Watafungwa na Liverpool, Spurs, Man city, Man united, Newcastle na Everton, wako so fragile wakiwa wanashambuliwa
Kwani haiwezekani?Eti tufungwe na Tottenham, Liverpool na Man City? Kweli we jamaa Ni boya kabisa
We kweli taahira Liverpool Spurs wamefungwa goli 3 na Arsenal ,Manchester United alishinda but kiukweli ni bahati mbaya Newcastle Everton ni wa kumfunga Arsenal ambaye amecheza mechi 16 na kushinda 14?Ni wabovu wakiwa under pressure, the best way arsenal muda wote wanatakiwa kushambulia kupack basi hawajui, na game ya jana ni ishara. Watafungwa na Liverpool, Spurs, Man city, Man united, Newcastle na Everton, wako so fragile wakiwa wanashambuliwa
Rekodi inamkataa arseanl kwa untd ndo maana mechi nyingi walizokutana Arsenal kapasuka nyingi, all in all arsenal yuko kwenye form akikaza kidogo2 huku city akiendelea kudondosha points basi ubingwa kwa arsenal ni mweupeKwanza hao Man U hawakuamini kama wamefanikiwa kuwafunga arsenal!! Walishinda kwa ngekewa sana!!
Angalia miaka mi 4 ya hivi karibuni acha kukaririRekodi inamkataa arseanl kwa untd ndo maana mechi nyingi walizokutana Arsenal kapasuka nyingi, all in all arsenal yuko kwenye form akikaza kidogo2 huku city akiendelea kudondosha points basi ubingwa kwa arsenal ni mweupe
I DISAGREE kuwa Arsenal huwa anapasuka goal nyingi vs Manchester United na huyo Man u ana miaka 5 hajawahi pata 3 points Emirates na hata January hii hatapata matokeo hapo Emirates inawezekana Arsenal pale old Trafford kushinda huwa ni mbinde ila sio kusema kuwa anapasukaga goal nyingi na kwa results hizi na Manchester anategemea counter attack na Partey atakuwepo hapo Emirates Manchester United ni bora asiende anaenda kupoteza muda tuView attachment 2465998Rekodi inamkataa arseanl kwa untd ndo maana mechi nyingi walizokutana Arsenal kapasuka nyingi, all in all arsenal yuko kwenye form akikaza kidogo2 huku city akiendelea kudondosha points basi ubingwa kwa arsenal ni mweupe
Nilikuwa namaanisha arsenal kafungwa mechi nyingi na untd siyo magoriI DISAGREE kuwa Arsenal huwa anapasuka goal nyingi vs Manchester United na huyo Man u ana miaka 5 hajawahi pata 3 points Emirates na hata January hii hatapata matokeo hapo Emirates inawezekana Arsenal pale old Trafford kushinda huwa ni mbinde ila sio kusema kuwa anapasukaga goal nyingi na kwa results hizi na Manchester anategemea counter attack na Partey atakuwepo hapo Emirates Manchester United ni bora asiende anaenda kupoteza muda tuView attachment 2465998View attachment 2465999
Hao wote unaowataja hakuna wa kumfunga Arsenal. Walau ungesema Aston villa au Crystal Palace. Man u aliyembea na upepo wa kutokuwepo Partey tu.Ni wabovu wakiwa under pressure, the best way arsenal muda wote wanatakiwa kushambulia kupack basi hawajui, na game ya jana ni ishara. Watafungwa na Liverpool, Spurs, Man city, Man united, Newcastle na Everton, wako so fragile wakiwa wanashambuliwa
Siyo kukariri ila takwimu ndo zinaongea kutoka 2018 mpaka 2022 arsenal win 4 sare 3 untd win 4Angalia miaka mi 4 ya hivi karibuni acha kukariri