mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
- Thread starter
- #21
Nikwambie kitu, kipindi cha sikuku za krismas na mwaka mpya ni kipindi kigumu sana kwenye epl maana mechi huwa ni nyingi sana za karibu karibu! Timu ikitoboa kipindi hiki ikiwa imewaacha wenzake kwa mbali kama ilivyo kwa arsenal msimu huu ujue kuikamata ni kazi kubwa sana!Bado mechi 23 unasema arsenal atakuwa bingwa itakuwa hujui mpira maana hata round ya kwanza ligi haijiisha ngoja zibaki kama mechi kumi ndio uje na utabiri huu vingenvyo usirudie tena hayo maneno