Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimejaribu muda sasa kuchunguza jinsi kiongozi wetu mkuu wa nchi alivyo na hasira mara zote aongeapo na sisi wanachi wake ni kama kuna kitu kikubwa sana kipo ambacho sisi wa tz tulimkosea maana
Najiuliza 1)tulipata tetemeko akaongea nasi kwa hasira sana; kwani mimi ndo nilileta tetemeko? Najua wengi mnakumbuka speech ile.
2)Watanzania tuna uwawa msumbiji bado yuko kimya!
3) juzijuzi tu anasema tukikamatwa huko nje na madawa tunyongwe wewe hebu baba yako anasema ukikamatwa kokote kule unyongwe! Si dariri nzuri kabisa maana yake baba yako kakuchoka
4) tunapata janga la njaa lakini baba yeye bado yuko tayari tufe eti hakuna kutangaza njaa kutangaza tu??
Jamani list ni ndefu mno! Nauliza tulimkosea nini huyu baba yetu sisi?? Hivyo nashauli kama watoto tuulizane kisha tumwombe msamaha labda chuki hii kali dhidi yetu itaisha!
Mbaya zaidi inaonekana mwenyewe ameshasahau kwamba alikuwa ni sehemu ya huu utawala tangia awamu ya tatu akishiriki mambo yote ya hovyo!...JK alipokkuwa Mkuu,JPM alikuwa mmoja wa washauri wake.
Kwani baba anasifa zipi ukiondoa ya kukuzaa??Mimi huyo sio baba yangu ila ni mwananchi wa Tanzania na huyo ndio Rais wa nchi. Hakuna ibara au kifungu chochote cha katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania kinasema Rais ni baba wa wananchi wote wa Tanzania.
Kwani baba anasifa zipi ukiondoa ya kukuzaa??
Heri nyie wenye baba yuleNimejaribu muda sasa kuchunguza jinsi kiongozi wetu mkuu wa nchi alivyo na hasira mara zote aongeapo na sisi wanachi wake ni kama kuna kitu kikubwa sana kipo ambacho sisi wa tz tulimkosea maana
Najiuliza 1)tulipata tetemeko akaongea nasi kwa hasira sana; kwani mimi ndo nilileta tetemeko? Najua wengi mnakumbuka speech ile.
2)Watanzania tuna uwawa msumbiji bado yuko kimya!
3) juzijuzi tu anasema tukikamatwa huko nje na madawa tunyongwe wewe hebu baba yako anasema ukikamatwa kokote kule unyongwe! Si dariri nzuri kabisa maana yake baba yako kakuchoka
4) tunapata janga la njaa lakini baba yeye bado yuko tayari tufe eti hakuna kutangaza njaa kutangaza tu??
Jamani list ni ndefu mno! Nauliza tulimkosea nini huyu baba yetu sisi?? Hivyo nashauli kama watoto tuulizane kisha tumwombe msamaha labda chuki hii kali dhidi yetu itaisha!
Ulimpigia kura?Nimejaribu muda sasa kuchunguza jinsi kiongozi wetu mkuu wa nchi alivyo na hasira mara zote aongeapo na sisi wanachi wake ni kama kuna kitu kikubwa sana kipo ambacho sisi wa tz tulimkosea maana
Najiuliza 1)tulipata tetemeko akaongea nasi kwa hasira sana; kwani mimi ndo nilileta tetemeko? Najua wengi mnakumbuka speech ile.
2)Watanzania tuna uwawa msumbiji bado yuko kimya!
3) juzijuzi tu anasema tukikamatwa huko nje na madawa tunyongwe wewe hebu baba yako anasema ukikamatwa kokote kule unyongwe! Si dariri nzuri kabisa maana yake baba yako kakuchoka
4) tunapata janga la njaa lakini baba yeye bado yuko tayari tufe eti hakuna kutangaza njaa kutangaza tu??
Jamani list ni ndefu mno! Nauliza tulimkosea nini huyu baba yetu sisi?? Hivyo nashauli kama watoto tuulizane kisha tumwombe msamaha labda chuki hii kali dhidi yetu itaisha!
Just dont regret yet it might be too early.Kama kuna kosa kubwa ambalo nimelifanya kwa miaka ya hivi karibuni na linaniuma basi kupanga foleni halafu kumchagua huyu mkuu.
Kama ni bifu acha tulibebe tu mpaka mwishoNimejaribu muda sasa kuchunguza jinsi kiongozi wetu mkuu wa nchi alivyo na hasira mara zote aongeapo na sisi wanachi wake ni kama kuna kitu kikubwa sana kipo ambacho sisi wa tz tulimkosea maana Najiuliza
1)tulipata tetemeko akaongea nasi kwa hasira sana; kwani mimi ndo nilileta tetemeko? Najua wengi mnakumbuka speech ile.
2)Watanzania tuna uwawa msumbiji bado yuko kimya!
3) juzijuzi tu anasema tukikamatwa huko nje na madawa tunyongwe wewe hebu baba yako anasema ukikamatwa kokote kule unyongwe! Si dariri nzuri kabisa maana yake baba yako kakuchoka
4) tunapata janga la njaa lakini baba yeye bado yuko tayari tufe eti hakuna kutangaza njaa kutangaza tu??
Jamani list ni ndefu mno! Nauliza tulimkosea nini huyu baba yetu sisi?? Hivyo nashauri kama watoto tuulizane kisha tumwombe msamaha labda chuki hii kali dhidi yetu itaisha!
hizi R na L shida lkn na U na HU nayo ni shida,shule zetu ziangalie hili.Mara nyingine fimbo umwokoa mtoto na kaburi
Kuna ukweli hapa. Maana ukifuatiliahutuba zake, unakata tamaa halafu unamuombea tu. Rais ukatamani kuwa IGP? Au kushughulishwa na mashabiki wa yanga wanaofuta gari ya mwenyekiti wao? Kikwete alijiandaa na aliupenda urais, mbali ya experiece ya chama aliokuwa nayo. Kama engelipata sapoti nzuri huenda angelifanya makubwa sana.Just dont regret yet it might be too early.
Nna uhakika ni pressure ya hiyo post. Hakujua ikoje. Ina pressure gani.
Mwisho wake kakuta matarajio yake kuyatimiza sio easy kama alivyodhani.
Sasa ku cope na hiyo post imekya ni challenge kubwa. Nna uhakika ingekua ni kitu rahisi angeomba kuresign alafu aombe ridhaa labda baadae hivi