Inaboa sana kuwa na mwanamke mwenye utambuzi mdogo hata kama ana tabia nzuri

Me naamini mwanamke boya boya ndio mzuri, kikubwa tu awe na nidhamu na anakuvutia kihisia.

Sio unakuwa na mwanamke mjuaji anajua mpaka kubet kwenye simu.
 
Hahaha mimi siyo mtata bana ila tu nachukia wanaume wanaopenda kuwatupia lawama wanawake kwa ujinga wao wenyewe, halafu nimegundua kwa sisi ngozi nyeusi ukimchallenge mtu halafu akashindwa kujibu hoja zako automatically kwake unakuwa mjuaji, ndio maana wanaume wengi wanataka wanawake wa kila kitu "ndio mzee" ili wasiwachallenge kusudi wawapelekeshe vizuri
🤣🤣🤣🤣kumbe
 
Aisee kataa ndoa sometimes nawaelewa Fulani ila nyie sababu yenu haswa Huwa haina mantiki Mimi yangu ni spesheli.

Binafsi Mimi Huwa sipendi mwanamke msahaulifu wa mambo na ukimuhoji kwanini anasahau anajibu kwamba kichwani mambo mengi wakati hatafuti hela kila kitu unatafuta mwanaume..

Yaani naposema msahaulifu namaanisha uwezo mdogo wa akili.mfano labda ili nieleweke kirahisi utoaji chenji dukani mtu mwenye akili anajua kabisa bidhaa ya 1700 mtu akitoa 5000 basi chenji ni 3300 ila mtu mwenye uwezo mdogo wa kufikiria lazima apige hesabu kwenye calculator..

Shida ni kwamba kipindi cha mwanzo wa mahusiano mahaba huwa mengi mixer mabusu na madenda so unakuwa udhaifu ule huujui..hata kama asijue mengi ila asiwe anasahau MAMBO ya msingi.
Lazima uchague kati ya tako na akili unataka kipi. Huwezi pata vyote in 1 package 🤔
 
Bora kuoa mwanamke mzuri wa sura na umbo. Ila Ana akili za wastani waweza hata kumfundisha baadhi ya mambo

Swala la Kuwa wanwake wembamba weusi ndo wana akili huu ni uongo . japo hutokea Ila sio Tanzania hapa
 
A
Aisee kataa ndoa sometimes nawaelewa Fulani ila nyie sababu yenu haswa Huwa haina mantiki Mimi yangu ni spesheli.

Binafsi Mimi Huwa sipendi mwanamke msahaulifu wa mambo na ukimuhoji kwanini anasahau anajibu kwamba kichwani mambo mengi wakati hatafuti hela kila kitu unatafuta mwanaume..

Yaani naposema msahaulifu namaanisha uwezo mdogo wa akili.mfano labda ili nieleweke kirahisi utoaji chenji dukani mtu mwenye akili anajua kabisa bidhaa ya 1700 mtu akitoa 5000 basi chenji ni 3300 ila mtu mwenye uwezo mdogo wa kufikiria lazima apige hesabu kwenye calculator..

Shida ni kwamba kipindi cha mwanzo wa mahusiano mahaba huwa mengi mixer mabusu na madenda so unakuwa udhaifu ule huujui..hata kama asijue mengi ila asiwe anasahau MAMBO ya msingi.
Mapenz bhna
 
Back
Top Bottom