Inaboa sana kuwa na mwanamke mwenye utambuzi mdogo hata kama ana tabia nzuri

Me naamini mwanamke boya boya ndio mzuri, kikubwa tu awe na nidhamu na anakuvutia kihisia.

Sio unakuwa na mwanamke mjuaji anajua mpaka kubet kwenye simu.
 
🤣🤣🤣🤣kumbe
 
Lazima uchague kati ya tako na akili unataka kipi. Huwezi pata vyote in 1 package 🤔
 
Bora kuoa mwanamke mzuri wa sura na umbo. Ila Ana akili za wastani waweza hata kumfundisha baadhi ya mambo

Swala la Kuwa wanwake wembamba weusi ndo wana akili huu ni uongo . japo hutokea Ila sio Tanzania hapa
 
A
Mapenz bhna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…