Inachukua muda gani kuisha kabisa?

Inachukua muda gani kuisha kabisa?

tan 90

Senior Member
Joined
Jul 29, 2012
Posts
182
Reaction score
36
Habari wana jf wenzangu,nina mdogo wangu wa kiume tokea abalehe ana vinyonyo vinavyomfanya aonekane kama mwanamke,sijui kisayansi inaitwaje,nataka kujua,huwa vinachukua muda gani kuisha kabisa au ndo milele atakua navyo?
 
kama huna cha kujibu kakojoe ulale,then jiheshimu kwa kutumia uhuru wako vizuri.

Acha matusi wewe kijana, Bornagain kakujibu sawasawa na ulivouliza sasa kelele za nini na matusi yatoka wapi? Kama wewe ni wa kiume angalia wewe kama vinyonyo viliisha kwa muda gani ama na kama havikuisha utajua mwenyewe. Kama wewe ni mwanamke kwa umri huu umeshavunja ungo kwa hiyo kila kitu ni hadharani check kwa boyfriend wako PERIOD na kama vyote hakuna kojoa mwenyewe kalale
 
shule ndio tatizo.
 
Habari wana jf wenzangu,nina mdogo wangu wa kiume tokea abalehe ana vinyonyo vinavyomfanya aonekane kama mwanamke,sijui kisayansi inaitwaje,nataka kujua,huwa vinachukua muda gani kuisha kabisa au ndo milele atakua navyo?
Mkuu.@tan 90 Mwambie huyo mdogo wako kila siku awe

anavikamuwa hivyo vinyonyo vitakwisha kabisa mimi miaka 33 iliyopita nilikuwa navyo na nikawa

ninavikamuwa vikaisha kabisa mwambie kila siku asubuhi awe anavikamuwa hivyo vinyonyo vitakwisha

kabisa. afanye hivyo kwa muda wa siku 7 mfululizo viatapotea kabisa hivyo vinyonyo vyake kisha uje hapa utupe fedback.
 
Mkuu hapa umeniacha hoi, akamue hata kama havitoki kitu?

kwanini hatupendi mtu kua muwazi kwa tatizo la kawaida tu. utamsikia mtu rafiki yngu ana hiki cjui mdogo wang ana hiki. kama mtu anahitaji msada aonge ukweli na si kueka nyuma ya pazia.( mficha uchi hazai) Bytheway mzizimkavu ameshakupa solution in addition mm nilikua natumia pakari haswa bila kujihurumia wiki tu nimepona
 
Amebalehe akiwa na umri gani?
Nataka kujua kama ni early au late adolesence?
 
labda anaweza kuwa na hormone inayo sababisha ukuaji wa maziwa..ambayo hupatikana kwa wanawake..oesteogen
au anaweza kuwa na sehemu za kike pia including mayai (ovaries).
ukimwangalia shape yake ipoje..kama ya kikw au ya kiume??ana nywele nyingi mwili mzima na sehemu zake nyeti,nywele zina mpangilio wa kike au kiume?!
 
kwanini hatupendi mtu kua muwazi kwa tatizo la kawaida tu. utamsikia mtu rafiki yngu ana hiki cjui mdogo wang ana hiki. kama mtu anahitaji msada aonge ukweli na si kueka nyuma ya pazia.( mficha uchi hazai) Bytheway mzizimkavu ameshakupa solution in addition mm nilikua natumia pakari haswa bila kujihurumia wiki tu nimepona
inabidi arudi kutuambia alichukua mda gani
 
Oestrogen imezid asile mayai wl kuku wa kisasa wala product za viwandani yaan ale vitu natural kwasababu homoni ya kike imezid kidogo ya kiume testosterone, na hiyo disturbance inasababishwa na vyakula vya kisasa na ndo mana mtoto wa kushua mdg anaanza toka manyonyo na shape ni mi vyakula hiyo
 
labda anaweza kuwa na hormone inayo sababisha ukuaji wa maziwa..ambayo hupatikana kwa wanawake..oesteogen
Hata wanaume wana oestrogen.
Na wanawake wana hormones za kiume.

Zitakazokuwa nyingi zaidi ndo zitaamua sifa zako.

Huyo mvulana atakuwa alikuwa na imbalance. Chezea kuku wa kizungu. Wanaume wenyewe tunashindana makalio siku hizi.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom