Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama huna cha kujibu kakojoe ulale,then jiheshimu kwa kutumia uhuru wako vizuri.
Acha matusi wewe kijana, Bornagain kakujibu sawasawa na ulivouliza sasa kelele za nini na matusi yatoka wapi? Kama wewe ni wa kiume angalia wewe kama vinyonyo viliisha kwa muda gani ama na kama havikuisha utajua mwenyewe. Kama wewe ni mwanamke kwa umri huu umeshavunja ungo kwa hiyo kila kitu ni hadharani check kwa boyfriend wako PERIOD na kama vyote hakuna kojoa mwenyewe kalale
Mkuu.@tan 90 Mwambie huyo mdogo wako kila siku aweHabari wana jf wenzangu,nina mdogo wangu wa kiume tokea abalehe ana vinyonyo vinavyomfanya aonekane kama mwanamke,sijui kisayansi inaitwaje,nataka kujua,huwa vinachukua muda gani kuisha kabisa au ndo milele atakua navyo?
Mkuu.@tan 90 Mwambie huyo mdogo wako kila siku awe
anavikamuwa hivyo vinyonyo vitakwisha kabisa mimi miaka 33 iliyopita nilikuwa navyo na nikawa
ninavikamuwa vikaisha kabisa mwambie kila siku asubuhi awe anavikamuwa hivyo vinyonyo vitakwisha
kabisa. afanye hivyo kwa muda wa siku 7 mfululizo viatapotea kabisa hivyo vinyonyo vyake kisha uje hapa utupe fedback.
kwanini hatupendi mtu kua muwazi kwa tatizo la kawaida tu. utamsikia mtu rafiki yngu ana hiki cjui mdogo wang ana hiki. kama mtu anahitaji msada aonge ukweli na si kueka nyuma ya pazia.( mficha uchi hazai) Bytheway mzizimkavu ameshakupa solution in addition mm nilikua natumia pakari haswa bila kujihurumia wiki tu nimeponaHabari wana jf wenzangu,nina mdogo wangu wa kiume tokea abalehe ana vinyonyo vinavyomfanya aonekane kama mwanamke,sijui kisayansi inaitwaje,nataka kujua,huwa vinachukua muda gani kuisha kabisa au ndo milele atakua navyo?
Hakuna dawa zaidi ya hiyoMkuu hapa umeniacha hoi, akamue hata kama havitoki kitu?
Habari wana jf wenzangu,nina mdogo wangu wa kiume tokea abalehe ana vinyonyo vinavyomfanya aonekane kama mwanamke,sijui kisayansi inaitwaje,nataka kujua,huwa vinachukua muda gani kuisha kabisa au ndo milele atakua navyo?
inabidi arudi kutuambia alichukua mda ganikwanini hatupendi mtu kua muwazi kwa tatizo la kawaida tu. utamsikia mtu rafiki yngu ana hiki cjui mdogo wang ana hiki. kama mtu anahitaji msada aonge ukweli na si kueka nyuma ya pazia.( mficha uchi hazai) Bytheway mzizimkavu ameshakupa solution in addition mm nilikua natumia pakari haswa bila kujihurumia wiki tu nimepona
Hata wanaume wana oestrogen.labda anaweza kuwa na hormone inayo sababisha ukuaji wa maziwa..ambayo hupatikana kwa wanawake..oesteogen
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hata wanaume wana oestrogen.
Na wanawake wana hormones za kiume.
Zitakazokuwa nyingi zaidi ndo zitaamua sifa zako.
Huyo mvulana atakuwa alikuwa na imbalance. Chezea kuku wa kizungu. Wanaume wenyewe tunashindana makalio siku hizi.