Inachukua muda gani kumpenda Mtu?

Inachukua muda gani kumpenda Mtu?

Somebody save me here
[emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
 
Kuna sehemu nilienda ndio nikamuona ila siwezi tena kwenda kule[emoji1787][emoji1787]

Ulimuona ukampenda siku hiyo hiyo?nikiwa kama shemeji yake naona kama hatutampata,tumpotezee
 
Ulimuona ukampenda siku hiyo hiyo?nikiwa kama shemeji yake naona kama hatutampata,tumpotezee
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sikumuona mara moja, nimemuona mara nyingi tu na sikumbuki kama niliwahi hata kumsalimia. Nimeongea nae siku ya mwisho ninayoondoka, sijui kaniroga yule mbwa[emoji1751]
 
Sijui itakuaje sasa manake ningekuwa naweza kumwambia mwanaume nampenda ningeenda hiyo sehemu kumwambia kwa niaba yako
 
Sijui itakuaje sasa manake ningekuwa naweza kumwambia mwanaume nampenda ningeenda hiyo sehemu kumwambia kwa niaba yako
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] basi tena nakufa na maumivu yangu
 
Tafiti zilizofanywa na wanasayansi na wadadisi wa biological and human relationships...

Inaonesha kuwa kwa wanaume inakuchukua siku 88 kumpenda mwanamke
Wakati kwa wanawake inachukua siku 134 kumpenda mwanaume...

Tafiti zimeonesha kuwa inawezekana pia Ku fall in love kwa muda mfupi zaidi ya uliotajwa
Mwanasayansi Arun Arthur aliwahi kuwakutanisha watu wawili wasiojuana na wakapendana ndani ya dakika 94..katika maabara yake
Kwa hapa bongo je napo ni hivyo
Au tuko tofauti?[emoji6]
Bongo dakika 0 hata kuona avatar ya JF tu mtu ushafal in love
 
Tafiti zilizofanywa na wanasayansi na wadadisi wa biological and human relationships. Inaonesha kuwa kwa wanaume inakuchukua siku 88 kumpenda mwanamke

Wakati kwa wanawake inachukua siku 134 kumpenda mwanaume. Tafiti zimeonesha kuwa inawezekana pia Ku fall in love kwa muda mfupi zaidi ya uliotajwa

Mwanasayansi Arun Arthur aliwahi kuwakutanisha watu wawili wasiojuana na wakapendana ndani ya dakika 94 katika maabara yake

Kwa hapa bongo je napo ni hivyo. Au tuko tofauti?[emoji6]
It may take even a second, umewahi kuambiwa " i loved you the first time i set my eyes on you"

Au umewahi mpenda mtu ulipomtia machoni tu, acha hajakusemesha

Akikusemesha sasa ndo unaliwana kabisaaa..na mkawa wapenzi na mmedumu pengine mpaka ndoa
 
Back
Top Bottom