Inachukua muda gani kumpenda Mtu?

Somebody save me here
[emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
 
Kuna sehemu nilienda ndio nikamuona ila siwezi tena kwenda kule[emoji1787][emoji1787]

Ulimuona ukampenda siku hiyo hiyo?nikiwa kama shemeji yake naona kama hatutampata,tumpotezee
 
Ulimuona ukampenda siku hiyo hiyo?nikiwa kama shemeji yake naona kama hatutampata,tumpotezee
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sikumuona mara moja, nimemuona mara nyingi tu na sikumbuki kama niliwahi hata kumsalimia. Nimeongea nae siku ya mwisho ninayoondoka, sijui kaniroga yule mbwa[emoji1751]
 
Sijui itakuaje sasa manake ningekuwa naweza kumwambia mwanaume nampenda ningeenda hiyo sehemu kumwambia kwa niaba yako
 
Sijui itakuaje sasa manake ningekuwa naweza kumwambia mwanaume nampenda ningeenda hiyo sehemu kumwambia kwa niaba yako
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] basi tena nakufa na maumivu yangu
 
Bongo dakika 0 hata kuona avatar ya JF tu mtu ushafal in love
 
It may take even a second, umewahi kuambiwa " i loved you the first time i set my eyes on you"

Au umewahi mpenda mtu ulipomtia machoni tu, acha hajakusemesha

Akikusemesha sasa ndo unaliwana kabisaaa..na mkawa wapenzi na mmedumu pengine mpaka ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…