Inachukua muda gani kumpenda Mtu?

haujawahi kupenda ?..., watu/tabia sio kama photocopy wote hatupo sawa...

Anyway unapenda nini ? Sura, tabia au character ya mtu..

kama ni sura inachukua muda gani kuona sura, kama ni mazoea basi mpaka umzoee mtu, kama tabia basi mpaka umuelewa mtu.., hata kama ni all of the above mtu na mtu hatuko sawa...
 
Duh that's love
 
Tusiojua hata kupenda, tuna comment wapi? Lol
 
Mimi mpaka kumpenda mwanamke inachukua miaka 5 kwasababu nitamfanyia uchunguzi wa kisayansi kujua DNA zake zimekaaje nisije dondokea jini
 
2 secs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…