Inachukua muda gani kupata mkopo wa biashara kwenye benki kubwa NMB, CRDB & NBC

Inachukua muda gani kupata mkopo wa biashara kwenye benki kubwa NMB, CRDB & NBC

kimara Kimara

Senior Member
Joined
Jul 7, 2024
Posts
141
Reaction score
287
Habari wananzengo,

Naomba kuuliza Je ni Muda gani Mtu anapewa mkopo kama amekidhi vigezo vyote vya kukopesheka, ie ana dhamana, ana biashara iliosajiliwa, Bank statement zake ziko vizuri ??

Naomba kujua
 
Naona NMB hawana shida sana, kuanzia advance salary hadi mikopo midogo wako poa sana.. mikopo mikubwa wadau watupe uzoefu.
 
Naona NMB hawana shida sana, kuanzia advance salary hadi mikopo midogo wako poa sana.. mikopo mikubwa wadau watupe uzoefu.
Mikopo mikubwa kuna milolongo, nenda rudi ni nyingi, hasa kama ni mara ya kwanza.
 
Back
Top Bottom