kimara Kimara
Senior Member
- Jul 7, 2024
- 141
- 287
Mkono mtupu haulambwiBila kitu kidogo pia waga kuna mkwamo. Akili kumkichwa.
SitakiLala wewe mtoto mzuri! 😊
Unataka nini mtoto mzuri? 😊Sitaki
Mikopo mikubwa kuna milolongo, nenda rudi ni nyingi, hasa kama ni mara ya kwanza.Naona NMB hawana shida sana, kuanzia advance salary hadi mikopo midogo wako poa sana.. mikopo mikubwa wadau watupe uzoefu.
Umeniwahi...48 hrs, not more than a week