Mkuu kwa mujibu wa alichoandika zachaja na picha, berth plan ilikuwa 30/12/2021 Expected arrival (siku ya kufika) ni kabla ya hapo hadi meli inaonekana kwenye berth plan maana yake ina(me)shusha.Inabidi ujue siku itaposhushwa, kuna kufika na kushusha, ni vitu viwili tofauti, baada ya kushusha mara nyingi inachukua siku nne kulitoa
Sawa Mkuu hope tarehe 4 atakuwa amepokea ndinga tupige miseleIkishashusha ahesabu siku4
Mkuu I hope utakuwa na msaada kwangu.Ila kama meli imeshusha gari inatoka ndani ya masaa 36 unakuwa nayo mkononi.
Umeshalipa ushuru?
Umeshalipia chochote kihusucho bandari?
Mnatumia wakala kuagiza gari ili mpate nn? Mbona kuagiza direct simple tu jamani?Mkuu huyo anashida kama yangu, mm nmeagiza kupitia meli ya Silver ray, ambapo ilifika tanzania 29/12/2021
View attachment 2064792
Nami nmeagiza kupitia wakala, ila nmekua nikiifatilia meli tangu Japan.
Wakala kanambia kuprocess Clearing and Forward ni ndani ya siku 7.
Sijui ni sahihi?
Mb
Mnatumia wakala kuagiza gari ili mpate nn? Mbona kuagiza direct simple tu jamani?
Pole sana broMkuu gari nilishaipata ila ni baada ya kupigizana makelele na wakala
Kiongozi unatumia app gani kufuatilia meli?Mkuu huyo anashida kama yangu, mm nmeagiza kupitia meli ya Silver ray, ambapo ilifika tanzania 29/12/2021
View attachment 2064792
Nami nmeagiza kupitia wakala, ila nmekua nikiifatilia meli tangu Japan.
Wakala kanambia kuprocess Clearing and Forward ni ndani ya siku 7.
Sijui ni sahihi?
Kwa nn kutumia wakala?Mkuu huyo anashida kama yangu, mm nmeagiza kupitia meli ya Silver ray, ambapo ilifika tanzania 29/12/2021
View attachment 2064792
Nami nmeagiza kupitia wakala, ila nmekua nikiifatilia meli tangu Japan.
Wakala kanambia kuprocess Clearing and Forward ni ndani ya siku 7.
Sijui ni sahihi?
Kiongozi unatumia app gani kufuatilia meli?
Asantee sana, ngoja niipakueMarrine traffic
Mkuu huyo anashida kama yangu, mm nmeagiza kupitia meli ya Silver ray, ambapo ilifika tanzania 29/12/2021
View attachment 2064792
Nami nmeagiza kupitia wakala, ila nmekua nikiifatilia meli tangu Japan.
Wakala kanambia kuprocess Clearing and Forward ni ndani ya siku 7.
Sijui ni sahihi?
Majipu mmekutana sioPamoja mkuu,nawe pia heri ya mwaka mpya jipu.