GREGO
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 4,279
- 2,921
Mkuu kwa mujibu wa alichoandika zachaja na picha, berth plan ilikuwa 30/12/2021 Expected arrival (siku ya kufika) ni kabla ya hapo hadi meli inaonekana kwenye berth plan maana yake ina(me)shusha.Inabidi ujue siku itaposhushwa, kuna kufika na kushusha, ni vitu viwili tofauti, baada ya kushusha mara nyingi inachukua siku nne kulitoa