Inachukua siku ngapi wastani kutoa gari bandrini?

Inachukua siku ngapi wastani kutoa gari bandrini?

Inabidi ujue siku itaposhushwa, kuna kufika na kushusha, ni vitu viwili tofauti, baada ya kushusha mara nyingi inachukua siku nne kulitoa
Mkuu kwa mujibu wa alichoandika zachaja na picha, berth plan ilikuwa 30/12/2021 Expected arrival (siku ya kufika) ni kabla ya hapo hadi meli inaonekana kwenye berth plan maana yake ina(me)shusha.
 
Mkuu kwa mujibu wa alichoandika zachaja na picha, berthing plan ilikuwa 30/12/2021 Expected arrival (siku ya kufika) ni kabla ya hapo hadi meli inaonekana kwenye berthing plan maana yake ina(me)shusha.
Ikishashusha ahesabu siku4
 
Ila kama meli imeshusha gari inatoka ndani ya masaa 36 unakuwa nayo mkononi.

Umeshalipa ushuru?

Umeshalipia chochote kihusucho bandari?
Mkuu I hope utakuwa na msaada kwangu.

Mimi nipo Nga'mbo huku ndo naendesha maisha yangu, NIliagiza gari ya Bibi yangu Mwezi uliopita, Meli imeshafika Dar tayari SInce 1st April (Ijumaa mida ya saa kumi na mbili ivi according to Tracker) ila Agent ananiambia bado haijashusha.

Nimeshalipa TRA Kodi, na Hela ya TBS wiki mbiliz zilizopita baada ya kupewa documents; Inachukua Muda gani Meli kuingia na Kushusha? Gharama zilizosalia ni Gharama za Badnari hapo kwenye utoaji pamoja na za AGent tu.
 
Mb
Mkuu huyo anashida kama yangu, mm nmeagiza kupitia meli ya Silver ray, ambapo ilifika tanzania 29/12/2021
View attachment 2064792

Nami nmeagiza kupitia wakala, ila nmekua nikiifatilia meli tangu Japan.

Wakala kanambia kuprocess Clearing and Forward ni ndani ya siku 7.

Sijui ni sahihi?
Mnatumia wakala kuagiza gari ili mpate nn? Mbona kuagiza direct simple tu jamani?
 
Mimi meli ilishafika toka juzi ila sada sijapata update japo nishalipia TRA na TBS ila bado port charges.
 
Mkuu huyo anashida kama yangu, mm nmeagiza kupitia meli ya Silver ray, ambapo ilifika tanzania 29/12/2021
View attachment 2064792

Nami nmeagiza kupitia wakala, ila nmekua nikiifatilia meli tangu Japan.

Wakala kanambia kuprocess Clearing and Forward ni ndani ya siku 7.

Sijui ni sahihi?
Kiongozi unatumia app gani kufuatilia meli?
 
Mkuu huyo anashida kama yangu, mm nmeagiza kupitia meli ya Silver ray, ambapo ilifika tanzania 29/12/2021
View attachment 2064792

Nami nmeagiza kupitia wakala, ila nmekua nikiifatilia meli tangu Japan.

Wakala kanambia kuprocess Clearing and Forward ni ndani ya siku 7.

Sijui ni sahihi?
Kwa nn kutumia wakala?
 
Meli ikishashusha kawaida importer anahesabu siku 3.anapata mzigo au gari yake./tofauti na hapo labda importer awe mzito kwenye kulipa (Kodi,tbs, shipping line.ports charges)..na akabidhi document kabla ya meli kuwasili...kumpa nafasi agent kufanya taratibu za PAD.kumuepushia storage..
 
Back
Top Bottom