Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
Kuna tetesi zinadai kwamba yule jamaa aliyetumwa na bashite kumtolea bastora Nnape Nnauye Ndio huyo hapo nyuma ya viongozi wa Chadema wkt wanapelekwa mahakamani.
Kwanini yuko hapo ? Yeye ni nani ? Katumwa na nani ?
Henry Kisanduku mtu aliyemchomolea bastola Nape Nnauye na kutishia kumpiga risasi, ndiye aliyepewa jukumu la kuwapeleka akina Mbowe mahakamani kutoka kituo kikuu cha Polisi Dar. Mwaka jana Waziri Mwigulu Nchemba alikanusha vikali kwamba mtu huyo si askari polisi.
Ikiwa si polisi kama alivyosema Nape, kwanini afanye kazi za Polisi? Kwanini apewe jukumu la kuwaescort akina Mbowe kwenda mahakamani? Polisi wamempaje kazi mtu asiye polisi apeleke watuhumiwa mahakamani? Huu ujasiri wa kufanya kazi za polisi wakati si polisi ameutoa wapi? Na kwani ni kwenye kesi ya akina Mbowe na si nyingine? I smell something fishy.!!