Tetesi: Inadaiwa aliyemtolea Nape bastola aonekana akisindikiza msafara wa viongozi CHADEMA kwenda mahabusu

Tetesi: Inadaiwa aliyemtolea Nape bastola aonekana akisindikiza msafara wa viongozi CHADEMA kwenda mahabusu

Hizi ripoti mbali mbali na siri zinazofichuliwa humu kuihusu serikali ya bwana yule hazibadilishi kitu humu ndani wala kule nje. Hazimuogopeshi wala kumtisha mtu yeyote serikalini.
Maneno matupu hayavunji mfupa. Kinatakiwa kifanyike kitu kitakachovunja mfupa. Vinginevyo malalamiko mpaka muhula mwingine huku mmoja baada ya mwingine akipotezwa [emoji51][emoji51][emoji51]
 
Unasema alichomoa bastola na kutishia kumpiga nape.!! We ni KE au ME?? Hivi uliona vizuri..aliitoa baada ya nape kumuuliza ye ni nani..kwamba ye ni mwana usalama ndio maana yuko pale..na aliitoa na kuirudisha kiunoni mara moja.
Muulize mama yako atakwambia
 
...Kinatakiwa kifanyike kitu kitakachovunja mfupa. Vinginevyo malalamiko mpaka muhula mwingine huku mmoja baada ya mwingine akipotezwa [emoji51][emoji51][emoji51]
Sasa unamwambia nani. Nenda kavunje mfupa basi, unamngojea nani afanye hivyo?
 
Mbona hujaweka picha ya unavyodai tujionee wenyewe.. endeleeni kudanganyana tu..
 
Sijawahi kuona faida ya huu uongo unaoenezwa kila Mara.
 
Huyo hapo na cap zake za kikolomijeView attachment 727067
tapatalk_1522177605380.jpeg
 
Back
Top Bottom