Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona hawakuwi siku zote hizi? Wishful thinking.Hawa ndugu zetu wa ccm hawajui kuwa kadri wanavyowatesa wapinzani ndivyo wanavyozidi kuwa popularity na kuwa kuza zaidi,walipaswa kuwaacha wanasiasa wafanye siasa kwa amani!
Akili zimeanza kukurudia taratibu..! Hahahah....! Ujambo mpenzi wangu.Njia bora ya mke kukuchoka nikumzoesha ubabe, kejeli, mateso. Siku akichoka hakika utajuta. Atageuka kuwa mbabe zaidi yako let them stay tuned.
huyu ndo sniper close friend wa DABView attachment 726981
Yule jamaa aliyetumwa na bashite kumtolea bastora Nnape Nnauye Ndio huyo hapo nyuma ya viongozi wa Chadema wkt wanapelekwa mahakamani.
Kwanini yuko hapo ? Yeye ni nani ? Katumwa na nani ?
Henry Kisanduku mtu aliyemchomolea bastola Nape Nnauye na kutishia kumpiga risasi, ndiye aliyepewa jukumu la kuwapeleka akina Mbowe mahakamani kutoka kituo kikuu cha Polisi Dar. Mwaka jana Waziri Mwigulu Nchemba alikanusha vikali kwamba mtu huyo si askari polisi.
Ikiwa si polisi kama alivyosema Nape, kwanini afanye kazi za Polisi? Kwanini apewe jukumu la kuwaescort akina Mbowe kwenda mahakamani? Polisi wamempaje kazi mtu asiye polisi apeleke watuhumiwa mahakamani? Huu ujasiri wa kufanya kazi za polisi wakati si polisi ameutoa wapi? Na kwani ni kwenye kesi ya akina Mbowe na si nyingine? I smell something fishy.!!
View attachment 726981

Ni mlinzi wa Bashite huyo,Labda katumwa na bwana yule
Kwasababu yupo hapo kwa kazi maalum kuna namna.Sasa hakuna wengine mpaka yeye? Au yeye ndo specialization yake IPO hapo
Wewe endelea kujitoa ufahamu kisa unapewa buku 7 hapo ofisini kwenu.Sio huyo aliyemtolea Nape bastola
Nina uhakika 100%
Uzushi
Huyo sio aliyemtolea Nape bastola ,Wewe endelea kujitoa ufahamu kisa unapewa buku 7 hapo ofisini kwenu.
Shwain....
Magufuli ameshasema akina Mbowe wafungwe au wamalizwe kabla ya TAREHE 26/04/2018. Ila MAGUFULI nae asubiri kiama chake hiyo tarehe aliyowawekea wenzake. Yeye siyo mungu unaweza kushangaa kibetri kinazima ghafla kabla ya tarehe aliyopangaView attachment 726981