Tetesi: Inadaiwa aliyemtolea Nape bastola aonekana akisindikiza msafara wa viongozi CHADEMA kwenda mahabusu

Tetesi: Inadaiwa aliyemtolea Nape bastola aonekana akisindikiza msafara wa viongozi CHADEMA kwenda mahabusu

Hawa ndugu zetu wa ccm hawajui kuwa kadri wanavyowatesa wapinzani ndivyo wanavyozidi kuwa popularity na kuwa kuza zaidi,walipaswa kuwaacha wanasiasa wafanye siasa kwa amani!
serikali inaona inawakomoa kumbe inawakomaza, shit hole
 
Ngoja nifanye "mikakati yangu" kwaajili ya sampuli za watu wa namna hii.
Amini nawaambieni kilichofanyika kwa Nape ni kiki iliyokuwa imeandaliwa na kufanikiwa kuwa na mashiko katika ufanisi mkubwa.

Mwisho kabisa UOGA ndio unalipeleka Taifa hili kaburini kama sio jehanamu. "My bullet will speak if can't talk". (Nukta)
 
na wewe fala tu sasa mbona waziri alikataa kwamba sio mwanausalama
Matusi ya nini sasa?? Kwani angeamua kumfyatulia risasi pale kulikuwa na kizuizi chochote..?? Si angefyatua angeamua..mnaongea tu..
 
Unasema alichomoa bastola na kutishia kumpiga nape.!! We ni KE au ME?? Hivi uliona vizuri..aliitoa baada ya nape kumuuliza ye ni nani..kwamba ye ni mwana usalama ndio maana yuko pale..na aliitoa na kuirudisha kiunoni mara moja.
Mwanausalama kwamba pale kulikuwa kuna hatari gani na kuelekea kwa nani au dhidi ya nani?
 
Hawa watu zamu yao inakuja.

Nasisitiza tena kuwa,Mungu kawanyima hawa watu maarifa ili waanguke.

Those who do not want political changes to occur in our country, are the ones who unknowingly facilitating those changes.

This arrogance and complacency that they are showing us today, will one day be responsible for their downfall.

They are complacent about remaining in power till the day this world comes to an end something that is not true at all and that is even against the laws of nature.
Endelea kuota na kingereza chako cha is na was,
 
View attachment 726981

Yule jamaa aliyetumwa na bashite kumtolea bastora Nnape Nnauye Ndio huyo hapo nyuma ya viongozi wa Chadema wkt wanapelekwa mahakamani.

Kwanini yuko hapo ? Yeye ni nani ? Katumwa na nani ?

Henry Kisanduku mtu aliyemchomolea bastola Nape Nnauye na kutishia kumpiga risasi, ndiye aliyepewa jukumu la kuwapeleka akina Mbowe mahakamani kutoka kituo kikuu cha Polisi Dar. Mwaka jana Waziri Mwigulu Nchemba alikanusha vikali kwamba mtu huyo si askari polisi.

Ikiwa si polisi kama alivyosema Nape, kwanini afanye kazi za Polisi? Kwanini apewe jukumu la kuwaescort akina Mbowe kwenda mahakamani? Polisi wamempaje kazi mtu asiye polisi apeleke watuhumiwa mahakamani? Huu ujasiri wa kufanya kazi za polisi wakati si polisi ameutoa wapi? Na kwani ni kwenye kesi ya akina Mbowe na si nyingine? I smell something fishy.!!
Illusion
 
Back
Top Bottom