Tetesi: Inadaiwa aliyemtolea Nape bastola aonekana akisindikiza msafara wa viongozi CHADEMA kwenda mahabusu

Tetesi: Inadaiwa aliyemtolea Nape bastola aonekana akisindikiza msafara wa viongozi CHADEMA kwenda mahabusu

Hawa ndugu zetu wa ccm hawajui kuwa kadri wanavyowatesa wapinzani ndivyo wanavyozidi kuwa popularity na kuwa kuza zaidi,walipaswa kuwaacha wanasiasa wafanye siasa kwa amani!
Na hasira za Wananchi zinazidi kuongezeka ...!!
 
Je mtu huyu ni nani?

nani-jpg.727129


Ningependa kujua huyu mwenye t-shirt ya bluu ni nani.
 
Huyu bwana sniper ni mystery sijui siyo mystery..agh awamu ya tano inachekesha sana
baada ya issue ya nape na waziri kusema huyu jamaa kapatikana,Igp kusema anatafutwa,Rpc wa kinondoni kusema hawamjui,bodigadi huyu wa bashite ambaye hata kina wolper watakuapia kwa Mungu jinsi alivyo na masifa akiwaona wasanii enzi hizo bashite anajichanganya nao leaders club kula mvinyo, alienda downlow
kama kawaida ya wadanganyika wakasahau na mtu mzito kama Nape hakuona justice ikitendeka kwake
leo bwana huyu kaibukia kwa kina mbowe,yarabi toba sijui mission yake ilikuwa ni nini,ila kwa picha hii,you can tell ni chuki ya hali ya juu,wafute tu vyama vingi,shida yote ya nini kama hamtaki ushindani na kupingwa na mlivyo wepesi ,uchaguzi huru mnatoka saa nne asubuhi hata bwana Humphrey polepole aliwahi sema hilo neno
mcheki na mkofia wake wa kolomije anavyomuangalia mbowe vibaya
sniper.jpg
 
View attachment 726981

Kuna tetesi zinadai kwamba yule jamaa aliyetumwa na bashite kumtolea bastora Nnape Nnauye Ndio huyo hapo nyuma ya viongozi wa Chadema wkt wanapelekwa mahakamani.

Kwanini yuko hapo ? Yeye ni nani ? Katumwa na nani ?...
Haya sasa shime makamanda wa mtandaoni fanyeni maandamano kesho mkamtoe Mbowe kutoka korokoroni. Msikae tu na kubonyeza keyboards zenu kwa mwendo kasi.
 
Hawa watu zamu yao inakuja.

Nasisitiza tena kuwa,Mungu kawanyima hawa watu maarifa ili waanguke.

Those people who do not want to see political changes are taking place in our country, are the ones who unknowingly facilitating those changes.

This arrogance and complacency that they are showing us today, will one day be responsible for their downfall.

They are complacent about remaining in power till the day this world comes to an end something that is not true at all and that is even against the laws of nature.
Fact
 
Hehehehe nimepita tuu kuchungulia siasani, napita na night dress yangu naelekea chumbani. Usiku mwema ya huku siyawezi.

Hivi kwanini wanawashikia bunduki wakati tayari wamewaweka chini ya ulinzi? Kwani hapo wanaweza kutoka au kuna mtu anaweza katiza kujaribu kuwaokoa? Sidhani...

Watu wenyewe wanaowatisha hata hawana habari wanasogoa.

Anyways siko choma chochote wala si shabiki yeyote, tuu sipendi violence.

Shleep well.
 
ただきますね。 私も正確な英語を学ぶ必要があるので、お互いに言葉を学べたらと思います。 伝わる英語では
 
Back
Top Bottom