Tetesi: Inadaiwa aliyemtolea Nape bastola aonekana akisindikiza msafara wa viongozi CHADEMA kwenda mahabusu

Tetesi: Inadaiwa aliyemtolea Nape bastola aonekana akisindikiza msafara wa viongozi CHADEMA kwenda mahabusu

Kamanda twende tuandamane tukamtoe Mbowe korokoroni.
Ninachokiona kwako na wenzio ni kuwa mnadhani maisha yenu yatabaki kama yalivyo. Maisha haya ni kama kinyonga!! Hebu fikiri mwenyewe uone kama siku moja Mugabe angeweza kulalamika?! Kuwa kwako CCM kusikuondolee akili na hata utu!! Huwezi juwa mwanao au nduguyo mwingine atakuwa na itikadi gani?! Fikiria na wengine
 
Mlinzi wa nani...wa viongozi wa Chadema? Anaitwa nani?

nani6-jpg.727143
 
Kitengo ndani ya Kitengo.

Sasa naanza kuamini maneno ya Chahali kuwa kuna Kitengo ndani ya Kitengo.

Kitengo Kimoja kina mamlaka makubwa kuliko kile Kitengo tulichokizoea cha Dstv.

Kwa mtindo huu the so called Kikosi Maalum a.k.a Watu wasiojulikana watatutesa mno.
Mambo ya Rogue elements.
But the sad newz is "siku zao zinahesabika".
 
Ninachokiona kwako na wenzio ni kuwa mnadhani maisha yenu yatabaki kama yalivyo. Maisha haya ni kama kinyonga!! Hebu fikiri mwenyewe uone kama siku moja Mugabe angeweza kulalamika?! Kuwa kwako CCM kusikuondolee akili na hata utu!! Huwezi juwa mwanao au nduguyo mwingine atakuwa na itikadi gani?! Fikiria na wengine
Tusipoteze muda mwingi nyuma ya keyboard kamanda. Twende tukaandamane tumtoe Mbowe. Piiiiipoz!
 
Mnhuuu namuomba Mungu anipe maisha marefu nishuhudie anguko la watu fulani .
 
Ila kuna uwezekano mkubwa huyu mtu alihusika kule Dodoma
Ndiyo yeye kwa 100% na usiku huu atapandishwa ndege kwenda kufichwa mbali asionekane tena nchini maana makonda hana raha baada ya siri zake kuvuja
 
Halafu kuna watu bado wanahoji mauaji ya watu wasiojulika nani yuko nyuma yake?!

I hate my country right now.
View attachment 726981

Kuna tetesi zinadai kwamba yule jamaa aliyetumwa na bashite kumtolea bastora Nnape Nnauye Ndio huyo hapo nyuma ya viongozi wa Chadema wkt wanapelekwa mahakamani.

Kwanini yuko hapo ? Yeye ni nani ? Katumwa na nani ?

Henry Kisanduku mtu aliyemchomolea bastola Nape Nnauye na kutishia kumpiga risasi, ndiye aliyepewa jukumu la kuwapeleka akina Mbowe mahakamani kutoka kituo kikuu cha Polisi Dar. Mwaka jana Waziri Mwigulu Nchemba alikanusha vikali kwamba mtu huyo si askari polisi.

Ikiwa si polisi kama alivyosema Nape, kwanini afanye kazi za Polisi? Kwanini apewe jukumu la kuwaescort akina Mbowe kwenda mahakamani? Polisi wamempaje kazi mtu asiye polisi apeleke watuhumiwa mahakamani? Huu ujasiri wa kufanya kazi za polisi wakati si polisi ameutoa wapi? Na kwani ni kwenye kesi ya akina Mbowe na si nyingine? I smell something fishy.!!

Kaka mwenye fulana ya bluu amekaa mkao wa kudhuru hawa ndugu zetu ambao hawajakosa kitu chochote. Mungu wa Amani na Upendo anawaona.
 
mcheki hapa sniper akiwa na the same tshet n 'kapero'

[/QUOTe

Kamwambia Mhutu aka Raisi Kichaa wako wapi Madikteta walio wahi kutumia watu kama nyinyi kuuawa watu. Hivi nyinyi watu wachache hivi mnadiliki kuichezea nchi ya Julius Kambarage Nyerere. Nawaambia Mungu wetu huwa hadhihakiwi kamwe. It is the matter of time. Mhutu, Bashite and his killing squard team including IGP SIRO, MWIGULU NCHEMBA AND KAMANDA MAMBO SASA WILL FACE THE HAGUE UNDER ICC. INTERNATIONAL CRIMINAL COURT.
 
View attachment 726981

Kuna tetesi zinadai kwamba yule jamaa aliyetumwa na bashite kumtolea bastora Nnape Nnauye Ndio huyo hapo nyuma ya viongozi wa Chadema wkt wanapelekwa mahakamani.

Kwanini yuko hapo ? Yeye ni nani ? Katumwa na nani ?

Henry Kisanduku mtu aliyemchomolea bastola Nape Nnauye na kutishia kumpiga risasi, ndiye aliyepewa jukumu la kuwapeleka akina Mbowe mahakamani kutoka kituo kikuu cha Polisi Dar. Mwaka jana Waziri Mwigulu Nchemba alikanusha vikali kwamba mtu huyo si askari polisi.

Ikiwa si polisi kama alivyosema Nape, kwanini afanye kazi za Polisi? Kwanini apewe jukumu la kuwaescort akina Mbowe kwenda mahakamani? Polisi wamempaje kazi mtu asiye polisi apeleke watuhumiwa mahakamani? Huu ujasiri wa kufanya kazi za polisi wakati si polisi ameutoa wapi? Na kwani ni kwenye kesi ya akina Mbowe na si nyingine? I smell something fishy.!!

KWASABABU NCHI HII INAONGOZWA NA WATU WAWILI TU BASHITE NA MAGUFULI.
 
Back
Top Bottom