Tetesi: Inadaiwa aliyemtolea Nape bastola aonekana akisindikiza msafara wa viongozi CHADEMA kwenda mahabusu

Tetesi: Inadaiwa aliyemtolea Nape bastola aonekana akisindikiza msafara wa viongozi CHADEMA kwenda mahabusu

tapatalk_1522113513303.jpeg

Hivi ni mtu kweli huyu au samaki
 
Unasema alichomoa bastola na kutishia kumpiga nape.!! We ni KE au ME?? Hivi uliona vizuri..aliitoa baada ya nape kumuuliza ye ni nani..kwamba ye ni mwana usalama ndio maana yuko pale..na aliitoa na kuirudisha kiunoni mara moja.
Nani aliyekwambia bastora ni kitambulisho?
 
Wewe endelea kujitoa ufahamu kisa unapewa buku 7 hapo ofisini kwenu.

Shwain....
Mkuu Mussolin5 huyo bwana yupo sahihi,hao ni watu wawili tofauti kabisa.

Na pengine mhusika anafurahi sana baada ya kufanikiwa kuwakoroga raia.
 
Unasema alichomoa bastola na kutishia kumpiga nape.!! We ni KE au ME?? Hivi uliona vizuri..aliitoa baada ya nape kumuuliza ye ni nani..kwamba ye ni mwana usalama ndio maana yuko pale..na aliitoa na kuirudisha kiunoni mara moja.
Wewe nawe kichwa chako kibovu kweli,nani alikwambia bastola ni utambulisho wa mwana usalama?
 
hii ndio shida ya Akili ndogo inapotaka kuitawala akili kubwa ''"
 
Hehehehe nimepita tuu kuchungulia siasani, napita na night dress yangu naelekea chumbani. Usiku mwema ya huku siyawezi.

Hivi kwanini wanawashikia bunduki wakati tayari wamewaweka chini ya ulinzi? Kwani hapo wanaweza kutoka au kuna mtu anaweza katiza kujaribu kuwaokoa? Sidhani...

Watu wenyewe wanaowatisha hata hawana habari wanasogoa.

Anyways siko choma chochote wala si shabiki yeyote, tuu sipendi violence.

Shleep well.
Goodnight, Kasie !
 
Back
Top Bottom