Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,445
- 205,933
Mungu anatusaidia ila sasa wenyewe hawataki msaada wa MunguDuh hii nchi hapana. Mungu tusaidie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu anatusaidia ila sasa wenyewe hawataki msaada wa MunguDuh hii nchi hapana. Mungu tusaidie
Taarifa za mitandaoni hatuzifanyii kaziTujikumbushe
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Polisi: Yeyote mwenye taarifa za uhakika za aliyemlenga Nape kwa bastola atujulishe
Broo umeongea point sanaaaa yaan ww UA tuuuu ila hujui kuna siku hukumu inakungojaDamu ya mwanadamu aliyezaliwa kutokana na muunganiko wa Baba na Mama huwa inalia kwa sauti sana,refer to Habili na Kaini...,Mungu alimwambia Kaini "nasikia damu ya ndugu yako inanililia kutoka ardhini" kwa maana hyo ukimwaga damu ya m2 asiye na hatia mabara yote,nchi zote,makanisa yote,misikiti yote itajua
Hao wanaouawa,kuteswa na hata kulawitiwa damu zao huenda kwenye uso wa ardhi na kuanza kulia na Mungu huvipokea vilio hivyo na kutoa hukumu!
tena huyu jamaa anaiza sura visasi vitaanzia mpaka kwenye familia yake...View attachment 726981
Kuna tetesi zinadai kwamba yule jamaa aliyetumwa na bashite kumtolea bastora Nnape Nnauye Ndio huyo hapo nyuma ya viongozi wa Chadema wkt wanapelekwa mahakamani.
Kwanini yuko hapo ? Yeye ni nani ? Katumwa na nani ?
Henry Kisanduku mtu aliyemchomolea bastola Nape Nnauye na kutishia kumpiga risasi, ndiye aliyepewa jukumu la kuwapeleka akina Mbowe mahakamani kutoka kituo kikuu cha Polisi Dar. Mwaka jana Waziri Mwigulu Nchemba alikanusha vikali kwamba mtu huyo si askari polisi.
Ikiwa si polisi kama alivyosema Nape, kwanini afanye kazi za Polisi? Kwanini apewe jukumu la kuwaescort akina Mbowe kwenda mahakamani? Polisi wamempaje kazi mtu asiye polisi apeleke watuhumiwa mahakamani? Huu ujasiri wa kufanya kazi za polisi wakati si polisi ameutoa wapi? Na kwani ni kwenye kesi ya akina Mbowe na si nyingine? I smell something fishy.!!
Hakuna kisichokua na mwisho, hekima na busara zitawale kwani nchi inaelekea kubaya. CCM ni chama imara kwa sisi waanzilishi ila sasa kinavurugwa na mapandikizi, siasa ni hoja sio chukiHaya sasa shime makamanda wa mtandaoni fanyeni maandamano kesho mkamtoe Mbowe kutoka korokoroni. Msikae tu na kubonyeza keyboards zenu kwa mwendo kasi.