Tetesi: Inadaiwa aliyemtolea Nape bastola aonekana akisindikiza msafara wa viongozi CHADEMA kwenda mahabusu

kama una acces ya kuingia insta ya Mange kaangalie zile video jinsi huyo jamaa alivyokuwa namsogelea Mbowe mpaka nimeogopa
 
Unasema alichomoa bastola na kutishia kumpiga nape.!! We ni KE au ME?? Hivi uliona vizuri..aliitoa baada ya nape kumuuliza ye ni nani..kwamba ye ni mwana usalama ndio maana yuko pale..na aliitoa na kuirudisha kiunoni mara moja.
Ko kutoa bastora ndo kitambulisho cha uana usalama? Omba Mungu akurudishie akili zako Sio kua mtumwa kiasi hicho
 
Ningekuwa na kisu ningewakata hivyo vidole vyao. Maana hiyo ni alama ya shetani
 
Hawa ndugu zetu wa ccm hawajui kuwa kadri wanavyowatesa wapinzani ndivyo wanavyozidi kuwa popularity na kuwa kuza zaidi,walipaswa kuwaacha wanasiasa wafanye siasa kwa amani!
Ccm wana undugu na chadwema kweli??ccm awàezi kuwa na undugu na watu wabaya kama nyie
 
Vipi bwana, unataka kupoteza ushahidi?
 
Duuh!!Nimeona Video za Huyu bwana....Hakika Jeshi letu la Polisi lijitathmini.
Hizo video zote ni fake video, zimetengenezwa studio na kupachikwa tuu picha za Henri Kisanduka, ila sio yeye. Mtu. Halisi aliyemtishia Nape bastola, ni mtu asiyejulikana, sio polisi, na bado anatafutwa!.

Hata aliyempiga risasi Akwiline pia hajulikani!, ndio maana Mbowe na viongozi wa Chadema wanashikiliwa kwa mauaji hayo.

Na Dereva wa Lissu akipatikana, atashitakiwa kwa shambulio la Lissu.

Huu ndio utekelezaji wa sheria wa awamu hii.

P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…