Tetesi: Inadaiwa aliyemtolea Nape bastola aonekana akisindikiza msafara wa viongozi CHADEMA kwenda mahabusu

[emoji2] [emoji2] [emoji2] we jamaa hatari!!!!
 
Kweli aisee, watu wanatengeneza video alaf wanarusha kwny mitandao, tangu lini watu wasiojulikana wakajulikana kiboya boya,
Makofi; pah pah pah pah, mjadala umeisha
 
Pascal umemaliza kila kitu, tunaomba mtoa mada ufunge mjadala.
 
Pole pole mzee bado tubakupenda.
Yaliyofanyika gizani yatajulikana hadharani!!
 
Hawaumii, hawalii, hawaombolezi, hawadhalilishwi, hawatekwi, viongozi wao hawana hofu ya usalama, ndio maana hawajali maneno yenu, hisia zenu. Ikitokea wajikuta upande huu siku moja, watasema hapana tukae meza moja tuyamalize.tusameheane kwa yaligopita tuwe kitu kimoja, utasikia lugha zote za kiungwana. Mungu awape kuona.
 
Bro Pascal, wenye mtindio wa ubongo kamwe hawatakuelewa. wavumilie.
 
Kama sio polic atakuwa kaomba lift tu
 
Aliyemtolea silaha Nape hayuko sawa. Yuko tayari kwa lolote. Ninadhani yuko kama yule boss anayekula na kupanda vyeo kutokana na malipo ya uharifu dhidi ya binadamu.

1). Kumtolea Nape silaha hadharani, hakufanywi na mtu wa kawaida.

2). Aliyempiga tundu lisu nasikia alikuwemo mtu mrefu mrefu, mweusi na si mnene.

3). Kama akina Mbowe wanasindikizwa na mtu wa kariba hiyo, si ajabu yuko katika mission nyingine. Wajihadhari na makinikia.

Mungu Irehemu Nchi.


 
Haishindi ya kwako ila kazi mnayo ndugu zako wanalia pasaka sero mwaka huu.
Kila jambo baya analolitenda mwanadamu malipo huwa ni hapa hapa Duniani
Kumbuka upande wako umehusika kwenye matukio mengi maovu lkn watu wapo kimya...Mungu atawalipa kwa wakati wake!
 
Sasa kwani na huko jela hawaongei na wafungwa.. mnachekesha kweli kweli na fikra finyu
sasa wewe ulikuwa unaulizia picha nimekuwekea unaanza kusema sijui kuongea na wafungwa sijui nini, je umeona kuwa huyu ndie aliyemtolea nape bastola?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Bongo raha sana
 
uongo unakua ukweli, kisandu siye aliyemtolea bastola Nape.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…