Tetesi: Inadaiwa aliyemtolea Nape bastola aonekana akisindikiza msafara wa viongozi CHADEMA kwenda mahabusu

Tetesi: Inadaiwa aliyemtolea Nape bastola aonekana akisindikiza msafara wa viongozi CHADEMA kwenda mahabusu

Unasema alichomoa bastola na kutishia kumpiga nape.!! We ni KE au ME?? Hivi uliona vizuri..aliitoa baada ya nape kumuuliza ye ni nani..kwamba ye ni mwana usalama ndio maana yuko pale..na aliitoa na kuirudisha kiunoni mara moja.
Mwanausalama anajitambulisha kwa kutoa bastola???? [emoji32] [emoji32]
 
*About the villainous king Geoffrey of game of thrones*,
The guy does not have roots, ...he does not have charisma and wit and smartness to roal people into his cause, people obey the chair he sits on, which means his power is not durable if opposed wisely by smarter opposition..
]
He was just a small boy, irrelevant example
 
Hata kofia haja badiri sema huyu si askari wameona wakisindikizwa na askari wataogopa
 
Hawa watu zamu yao inakuja.

Nasisitiza tena kuwa,Mungu kawanyima hawa watu maarifa ili waanguke.

Those people who do not want to see political changes are taking place in our country, are the ones who unknowingly facilitating those changes.

This arrogance and complacency that they are showing us today, will one day be responsible for their downfall.

They are complacent about remaining in power till the day this world comes to an end something that is not true at all and that is even against the laws of nature.
Nenda huko na lugha yako ya kitumwa!! Mtanyooka tu!!
 
Back
Top Bottom