Tetesi: Inadaiwa aliyemtolea Nape bastola aonekana akisindikiza msafara wa viongozi CHADEMA kwenda mahabusu

Yawezekana pia huna uhakika wewe ni jinsia(jinsi)gani,endelea kutokuwa na uhakika na mambo yaliyodhahiri.
Mambo gani yaliyodhahiri

Na huyo chalii makusudi kapelekwa kusindikiza hilo gari ili vilaza kama nyie muanze maneno

Acheni kuwa bendera fuata upepo

Mjinga pekee ataamini huyu ndio aliyemtolea Nape Bastola ,..huyu chalii mfupi na baunsa ,yule aliyemtolea bastola Nape mrefu na mwembamba
.
Kuhusu jinsia yangu hata nikiwa shemale haikuhusu
 
uongo unakua ukweli, kisandu siye aliyemtolea bastola Nape.
Nashangaa ase na hii ni Mange kadownload picha ya kisandu alivyokuwa anatembea na Rc makonda kisha akaanza kueneza uzushi

Kisandu baunsa na kimo si mrefu yule aliyemtolea Nape bastola mrefu na mwembamba

Tatizo Mange kasema utaeleweka ndugu
 
View attachment 726981

Kuna tetesi zinadai kwamba yule jamaa aliyetumwa na bashite kumtolea bastora Nnape Nnauye Ndio huyo hapo nyuma ya viongozi wa Chadema wkt wanapelekwa mahakamani.

Kwanini yuko hapo ? Yeye ni nani ? Katumwa na nani ?

Henry Kisanduku mtu aliyemchomolea bastola Nape Nnauye na kutishia kumpiga risasi, ndiye aliyepewa jukumu la kuwapeleka akina Mbowe mahakamani kutoka kituo kikuu cha Polisi Dar. Mwaka jana Waziri Mwigulu Nchemba alikanusha vikali kwamba mtu huyo si askari polisi.

Ikiwa si polisi kama alivyosema Nape, kwanini afanye kazi za Polisi? Kwanini apewe jukumu la kuwaescort akina Mbowe kwenda mahakamani? Polisi wamempaje kazi mtu asiye polisi apeleke watuhumiwa mahakamani? Huu ujasiri wa kufanya kazi za polisi wakati si polisi ameutoa wapi? Na kwani ni kwenye kesi ya akina Mbowe na si nyingine? I smell something fishy.!!
Ina maana kina mbowe wapo chini ya jeshi la watu wasiojulikana Kikosi kazi maalumu cha Bashite.Hawa watu wabaya sana huyo kuna jambo analovizia sii bure.Iweje waziri aseme sii askari wake??

Mwigulu Nchemba unajidhalilisha sana
 
View attachment 726981

Kuna tetesi zinadai kwamba yule jamaa aliyetumwa na bashite kumtolea bastora Nnape Nnauye Ndio huyo hapo nyuma ya viongozi wa Chadema wkt wanapelekwa mahakamani.

Kwanini yuko hapo ? Yeye ni nani ? Katumwa na nani ?

Henry Kisanduku mtu aliyemchomolea bastola Nape Nnauye na kutishia kumpiga risasi, ndiye aliyepewa jukumu la kuwapeleka akina Mbowe mahakamani kutoka kituo kikuu cha Polisi Dar. Mwaka jana Waziri Mwigulu Nchemba alikanusha vikali kwamba mtu huyo si askari polisi.

Ikiwa si polisi kama alivyosema Nape, kwanini afanye kazi za Polisi? Kwanini apewe jukumu la kuwaescort akina Mbowe kwenda mahakamani? Polisi wamempaje kazi mtu asiye polisi apeleke watuhumiwa mahakamani? Huu ujasiri wa kufanya kazi za polisi wakati si polisi ameutoa wapi? Na kwani ni kwenye kesi ya akina Mbowe na si nyingine? I smell something fishy.!!
Inaelekea unamwogopa Kisanduku
 
Nilimuona nikashtuka sana.
Ndio Tanzania yetu vumilieni tu.
 
View attachment 726981

Kuna tetesi zinadai kwamba yule jamaa aliyetumwa na bashite kumtolea bastora Nnape Nnauye Ndio huyo hapo nyuma ya viongozi wa Chadema wkt wanapelekwa mahakamani.

Kwanini yuko hapo ? Yeye ni nani ? Katumwa na nani ?

Henry Kisanduku mtu aliyemchomolea bastola Nape Nnauye na kutishia kumpiga risasi, ndiye aliyepewa jukumu la kuwapeleka akina Mbowe mahakamani kutoka kituo kikuu cha Polisi Dar. Mwaka jana Waziri Mwigulu Nchemba alikanusha vikali kwamba mtu huyo si askari polisi.

Ikiwa si polisi kama alivyosema Nape, kwanini afanye kazi za Polisi? Kwanini apewe jukumu la kuwaescort akina Mbowe kwenda mahakamani? Polisi wamempaje kazi mtu asiye polisi apeleke watuhumiwa mahakamani? Huu ujasiri wa kufanya kazi za polisi wakati si polisi ameutoa wapi? Na kwani ni kwenye kesi ya akina Mbowe na si nyingine? I smell something fishy.!!
Hawa mafarisayo ipo siku nayo yataonja joto ya jiwe. Haikubaliki kila siku kuwambambika watu kesi bila sababu za msingi. Twits at their best!
 
Muueni mnalalamika humu iweje sasa???mmemuona muue sisi wananchi hatuna cha kuwasaidieni,you have to revenge sivyo mnajuana nao bwana!!

sawa!!
 
Yakitokea ya Zimbabwe hawa ndiyo wahuni wakusakwa..na wengineo wengi tu wanaojiita wasiojulikana..
 
View attachment 726981

Kuna tetesi zinadai kwamba yule jamaa aliyetumwa na bashite kumtolea bastora Nnape Nnauye Ndio huyo hapo nyuma ya viongozi wa Chadema wkt wanapelekwa mahakamani.

Kwanini yuko hapo ? Yeye ni nani ? Katumwa na nani ?

Henry Kisanduku mtu aliyemchomolea bastola Nape Nnauye na kutishia kumpiga risasi, ndiye aliyepewa jukumu la kuwapeleka akina Mbowe mahakamani kutoka kituo kikuu cha Polisi Dar. Mwaka jana Waziri Mwigulu Nchemba alikanusha vikali kwamba mtu huyo si askari polisi.

Ikiwa si polisi kama alivyosema Nape, kwanini afanye kazi za Polisi? Kwanini apewe jukumu la kuwaescort akina Mbowe kwenda mahakamani? Polisi wamempaje kazi mtu asiye polisi apeleke watuhumiwa mahakamani? Huu ujasiri wa kufanya kazi za polisi wakati si polisi ameutoa wapi? Na kwani ni kwenye kesi ya akina Mbowe na si nyingine? I smell something fishy.!!
awamu ya Magufuli kama unamasilahi kwa upande wa ccm wewe unatumika tu, kweli Magufuli anazidi kuaibika kila kukicha
 
maCCM ni matutusa makubwa kupata kutokea hapa duniani.
 
Ndiyo yeye huyo Mkuu angalia hii kofia kwenye hii link. Kapiga chuma kwa sana kaongeza muscles.

Back
Top Bottom