DOKEZO Inadaiwa Askari Magereza wa Ukonga wanajigharamikia wenyewe wanaposafirisha Wafungwa

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mwisho wake ulikuwaje Kaka?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Hao wapuuzi Huwa hawalipi Madeni Yao,Sijajua taasisi zingine ila nakofanyia kazi flow ya pesa Iko vizuri labda Kwa sababu fungu lake liko reinfenced
 

sasa ukitaka kujua mambo ya ndani kuna wahuni wasioelezeka,hiyo pesa ya kuanza maisha haipo watu hukopeshwa na hutakiwa kuilipa kwa mishahara yao.

ni ngumu sana kuiamini taasisi inayofanya kazi namna hii.
 
Kweli aisee,wafanye ivyo
 
Hawa askari wanazulumu sana raia, nishawahi enda magereza kipindi cha Magufuli one weekend (nayo ilikuwa zuluma na figisi za askari)

Wacha waonje tabu ya zuluma!

Wazulumiwe tu.
πŸ˜„πŸ˜€πŸ˜…πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜πŸ˜
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…Sisi kipind fulani chuo pesq ya kujikimu tunachelewa yaani hakuna sababu ya maana na pesa ni kusaini tu.
kumbe mpo mmejifucha humu hamtaki kuleta marejesho??
eeh upo wewe na nani humu kabla hatujakujia?
 
Uonevu wanaofanyiwa askari magereza sio sawa aisee yani katika kazi ngumu nilizowahi kuona ni kazi ya kuwa askari magereza. Wapeni haki zao na maslahi yao kwa Wakati askari magereza ni watu wa muhimu sana katika jamii na nchi kwa ujumla. Tena kuwaongezea mishahara na posho itapendeza sana. Naomba serikali ya rais Samia ilitazame na hili kwani Mama Samia hana Baya ni msikivu na mwenye hekima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…