Inadaiwa baadhi ya majeshi ya Urusi yaliyokuwa Belarusi kwa ajili ya mazoezi ya Kijeshi yaanza kurudi, baada ya mazoezi kuisha

NATO mikwara yote mfukoni wametuma sana Marais wao kwenda kum bembeleza Putin asishushe mvua ya makombora Europe nakugeuza miji yao magofu.
Haha Russia ndo amesanda madai yake yamekataliwa na majeshi anaondoa. Ushindi Kwa Ukraine huu.
 
Tumekusikia mmarekani wa buza.
 
Kwa kifupi Pale Afghan Urusi alikua anapigana na wababe wa Dunia nzima,lkn Alicheza nao miaka kumi.
 
Aliyefata nae ilikuwaje yupo au kaondoka?
 
Aliyefata nae ilikuwaje yupo au kaondoka?
Kama unasema USA Ngoja nikueleweshe Kidogo.

Marekani aliingia Afghanistan mwaka 2001 na kuisambaratisha Serikali iliyokuwa Chini ya Taliban. Taliban wote wakaelekea Msituni. Mimi kwangu huo nauita Ushindi wa Marekani Kijeshi nchini Afghanistan.

Mwaka 2021,Marekani ikaweka mkataba na Taliban wa Marekani kuondoa Majeshi yake Mara ifikapo tarehe 31 Agosti. Marekani ilifikia uamuzi huu baada ya Mashirika ya kimataifa Mara kwa Mara kukosoa Operation za Marekani nchini Afghanistan kwamba zinaua Raia wa nchi hiyo. Pia Taliban walikuwa wanajilipua Sokoni na Misikitini na kuua Raia wengi wa Afghanistan. Marekani ikapata shinikizo la kufanya Mazungumzo na Taliban ili waache kujilipua na kuacha Kuua Raia wa Afghanistan. Kuona hivyo,Marekani ikaona isiwe shida. Wakaiachia Jeshi la Serikali msala wa kupambana na Taliban. Baada ya kuondoka Majeshi ya Marekani,ndipo Taliban wakaipindua Serikali dhaifu ya Ashraf Ghan. Hapo Marekani ilishindwa Kisiasa nchini Afghanistan baada ya kushinda kijeshi mwaka 2001.

Kwa upande Mwingine,Urusi alishindwa vyote,Kijeshi na Kisiasa. Mjahideen walizitungua ndege Nyingi Sana za kijeshi za Urusi.
 
Mwisho wa siku bado taliban wapo....
 
ila US na NATO waliweza siunaona mpaka leo hii wapo Afghanistan
 
Russia karudi na kafanya kweli
Kafanya Nini? Nadhani hii ifike mahali kuvamiwa kwa Ukraine isitajwe Urusi, atajwe Putin. Ndio maana wanapigwa kama watoto. Tatizo kubwa la Urusi huwa ni Morali, vita yote wanayopigana wanapigwa kwa sababu ya kukosa Morali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…