Tetesi: Inadaiwa CCM inatumia bilioni 12.8 katika mipango mkakati katika vikundi vitatu ambavyo ni ujasusi wa kusini na kanda ya kati


Serikali za mitaa kama upinzani watashinda mwaka huu kwa mikakati ya ccm sijui kabisa kwasababu sasahivi hawalali usiku na mchana huko matawini wamepamba moto kwenye maandalizi.

Nadhani njia walizotumia kuwasotesha mahakamani wapinzani kuna wafanya wapinzani wafikirie kesi kuliko mipango ya matawi. Vyama vya upinzani mnapaswa kuunda kitu kinaitwa invisible part yaani chama kisichoonekana na wala kujitangaza ili kushinda ulaghai unaoendelea
 
Sera? Unaongea kitu gani! Tuna misimamo ya Sera kwenye maeneo makubwa 12 na maeneo madogo 48 na ndo sera mbadala wa CCM. Ukitaka nikupe usome. Na pia Kama hujui tuna FALSAFA inayotuongoza kwenye utawala na tuna ITIKADI inayotuongoza kwenye uchumi.
 
Nguvu ya CCM ipo kwenye Vyombo vya Dola! Hakuna tofauti ya Chama CCM na Dola, Vinginevyo mbona Wangekuwa Wameondolewa Zamani!
Suluhisho ni Raia Kujitambua, hilo tu.
Hiyo nguvu yao ya Dola mwisho mwakani. Tutawanyoosha Hawa jamaa kama watajifanya wanasaidia kupora ushindi
 
Hivi watu bado mnaangaika na siasa? Tuliishi wakati wa Nyerere tulikuwa na chama kimoja wakaendaaaa wakarudi vikaisha. Futeni vyama wabaki wenyewe na sisi vikongwe tupumue. Mateso tuliyoyapata wakati wa chama kimoja yanatosha. Subiri tuishe muanze tena vyama.
 
Nakupuuza tu
 
Hiyo nguvu yao ya Dola mwisho mwakani. Tutawanyoosha Hawa jamaa kama watajifanya wanasaidia kupora ushindi
Mkuu, elewa CCM ipo attached na Vyombo vya Dola.Yaani ni Kama Kupe tu anavyotegemea Damu ya Kiumbe mwingine Vinginevyo hawezi kuSurvive!
 
Sisi tunawasubiria haya manyang'au tudeal nao
 
Ndiyo maana yake taarifa tunazipata kwa wenye mapenzi mema toka ndani ya Chama chao ambao hawapendi
 
Umeshaanza visingizio naona mnandaa sababu ya kwanini mtashindwa uchaguzi wa serikali za mitaa. Akina mbowe wenzio wamekwapua michango yenu umeshindwa hata kufuatilia hilo umekalia kuanzisha thread za uongo na ujinga
Nakupuuza tu
 
Nakupuuza tu!
 
Unaweweseka
 
Itasikitisha sana endapo hizi taarifa zitakua na ukweli...


Cc: mahondaw

Wakati mwingine haya Mambo sio kusikitisha tu.. yanatisha pia.

Ipo siku hivi vikundi vitabadili msimamo na kuleta Vita au machafuko...
Maana Vita ya kisiasa ilipofikia kwa Sasa Ni sawa na Vita baridi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…