lutemi
JF-Expert Member
- Dec 24, 2013
- 1,748
- 1,388
Duh! Hatari sana hii. Madaraka haya yatatumaliza kwa hakika kwani kuongozwa ni kwa lazima sasa hakuna hiari!
Na kusema kweli huku kitaa watu wamechafukwa na roho wanatapika hovyo! Jana nilibahatika kukaa na wajumbe wawili waliohudhuria kikao flank mtaani wakijilaumu kwa kukubali kupokea shilingi elfu kumi tu pamoja na kazi ngumu waliyoifanya ya kupita nyumba kwa nyumba kuhamasisha na kuoroshesha wanaccm!
Serikali za mitaa kama upinzani watashinda mwaka huu kwa mikakati ya ccm sijui kabisa kwasababu sasahivi hawalali usiku na mchana huko matawini wamepamba moto kwenye maandalizi.
Nadhani njia walizotumia kuwasotesha mahakamani wapinzani kuna wafanya wapinzani wafikirie kesi kuliko mipango ya matawi. Vyama vya upinzani mnapaswa kuunda kitu kinaitwa invisible part yaani chama kisichoonekana na wala kujitangaza ili kushinda ulaghai unaoendelea