Tetesi: Inadaiwa Clement Mzize analipwa 600k, halafu Guede analipwa Milion 29

list iko wazi kabisaa
 
Kqmq ni kweli feisal toto alikuwa na haki ya kususa ni upumbavu
Sio kweli. Kwa timu za ligu kuu, kima cha chini cha salary kwa wachezaji ni laki5. Kwa njia yeyote, haiwezekani mzize kuongezewa laki tu juu ya standard salary ambayo ni hiyo laki 5. Inawezekana ila wastani wa kuwa hii taarifa ni ya kweli haufiki asilimia20. Hata hivyo, yanga kama yanga haijawai kutoa tamko la malipo kwa wachezaji wake. So hii taarifa sio rasmi. Tuepuke kusoma habari kutoka vyanzo visivyotambulika na kuzisambaza bila kuthibitisha kutoka chanzo cha kuaminika
 
Ndio kiasi alichokubaliana nao wakati wa kusaini mkataba,wewe ni nani wake unakuja kulalamikia huku jf?
 
Hiyo pesa inamtosha sana sababu muhusika ameridhika na anapiga kazi kweli kweli!!!
Kwani wewe ni msemaji wake???
Watu kama nyinyi huwa mnachochea migomo kazini!!!
 
"Attention seeker" vipi mmeo amekuruhusu kupost? We si ulishaaga humu JF? 😀😃😄😁😆😅🤣😂
 
Dogo wa Zanzibar mlimpigia kelele Mkajua anazingua
 
Mbona mishahara midogo mno?
Mzawa mwenye mshahara wenye nafuu ni Mkude tu🙄🙄
 
Acha uongo hakuna mshahara wa laki 6 yanga
 
Una Imani hizi propaganda zitasaidia April 20?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…